Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

some ------ deserve that kind of language....back to football now.....hivi mbona unatumia muda mwingi huku huna kwenu???

ujirani mwema..wewe kwenu PSG mbona umo humu pia?

kwenu hakuna cha kujadili? Vipi safari yako ya kwenda Madrid?

🙂
 
ujirani mwema..wewe kwenu PSG mbona umo humu pia?

kwenu hakuna cha kujadili? Vipi safari yako ya kwenda Madrid?

🙂

tarehe 27 nitakuwa ANFIELD wakati tunaweka mnapostahili.....hadi msimu huu uishe nitasapoti kila timu inayocheza na CHELSHIT!!!!!

hii imesababishwa na kelele zako agosti 8 Ntuzu na kocha wenu mourihno eeer JOSE MOURINHO
 
Last edited by a moderator:

wajomba zangu ndio mashabiki wa liverpool.....wakati liverpool inatamba mimi hata mpira sijui ni nini??nimejua mpira man utd inatamba nikazama humo humo!!!! sawa wewe Chelsea imeanza kufufuka ABRAMOVICH alivoichukua usiniambia ndio hapo ulianza kupenda mpira....wewe ulikuwa man utd/arsenal ukahama!!!
 
hoja zako hazina mashiko; mimi kijana wa enzi za Glenn Hoddle; je unazijua zama hizo?

some ------ deserve that kind of language....back to football now.....hivi mbona unatumia muda mwingi huku huna kwenu???

Teh Teh Teh Teh Teh

Hujui Kwanini niko Huku?

Bado niko na biashara na Wewe Liverpool Mkuu!

Tulimalize Hiyo Tarehe 27 utaniona kwa nadra humu!
 
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:

CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.

CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.
 
Shelshit miaka 100+ makombe 4 ratio iko wapi..?mnamengi ya kujifunza kutoka kwa liverpool..
 
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:

CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.

CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.

una maneno wewe....kama mzaramo!!! kikombe kinabaki ANFIELD...tarehe 27 ndio mwisho wenu
 
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:

CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.

CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.

mimi nimeanza siku ilipoanza EPL division one sikuwa naangalia mpira wa england.
 
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:

CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.

CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.

Ukizungumzia UEFA cup winners, hata west ham united, Everton, Man city, na team zngne za kawaida sana kama Sampdoria ya Italy, Dinamo tibilisi ya Georgia ZIMESHABEBA hilo KOMBE..

UKWELI ni kwamba Chelsea ilirudi kwenye ushindani wa kweli baada ya kuchukuliwa na MRUSI..
 
mpaka raha aiseeeee. ni mwendo wa chubwi kaba chubwi kaba mpaka tunamaliza ligi mbona tutasikia mengi sana kuna watu hum watakuwa washakonda.

namsiombeee Chelsea tuwagonge tareh 27 ndani ya anfield mbona patanoga sana naona man city taratibu kesha anza Susa njiani
 
duh afadhali umenisaidia....huyu agosti 8 ana maneno kama mzaramo!!!
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Umeambiwa ukweli!

kweli una biashara na cc yaani nimekutafuta kule nikukumbushe leo ijumaa kuu, ila cjakupata, mara yamwisho ulionekana ukimfundisha mtu mambo ya avatat ukakimbia jumla, najua baada ya tar27 hutaonekana humu
 
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:

CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.

CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.

pole sana ndugu yangu. na msim huu hilo kombe la uefa mtaendelea kulisikilizia bombani MILELE amina mpaka morinyo atakapo ondoka Chelsea.
maana anagundu na uefa ndani ya Chelsea.
ligue na fa mtabeba sana
 
Nilivyosoma hiki kitu, nimecheka sana, Kaka inaelekea huwa unawadanganya sana mashabik wa teams za England ambao hawafatilii mpira kiundan hapo mtaani kwenu...

Kuanzia mwaka 1991 liverpool imekuwa managed na makocha 7 tofaut, wa 7 ni BR huyu wa sasa..

1. GRAEME SOUSNESS- 1991-1994
•alichukua FA CUP tu

2. ROY EVANS- 1994-1998
•Alchukua League Cup tu..

3. GERLAD HOULLIER- 1998-2004
•FA CUP
•League Cup
•UEFA cup
•UEFA super Cup

4. RAFAEL BENITEZ- 2004-2010
•FA CUP
•UEFA CHAMPIONS LEAGUE
•UEFA super cup
•community shield.

5. ROY HODGSON- 2010-2011
•huyu babu alitoka kapa.

6. KING KENNY- 2011-2012
•League Cup

7. BRENDAN RODGERS- 2012- present.

Hapo shekhe ungeniambia mashabiki wa LIVERPOOL hawajafurahia UBINGWA wa PREMIERE LEAGUE tangu 1991 ningekuelewa, Lakini Vikombe vingne tumebeba saaaana..

Changamoto zako huwa unazuweka kishabiki sana ndo maana watu huwa wanakushangaa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…