some ------ deserve that kind of language....back to football now.....hivi mbona unatumia muda mwingi huku huna kwenu???
ujirani mwema..wewe kwenu PSG mbona umo humu pia?
kwenu hakuna cha kujadili? Vipi safari yako ya kwenda Madrid?
🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
some ------ deserve that kind of language....back to football now.....hivi mbona unatumia muda mwingi huku huna kwenu???
ujirani mwema..wewe kwenu PSG mbona umo humu pia?
kwenu hakuna cha kujadili? Vipi safari yako ya kwenda Madrid?
🙂
Mlikuwa daraja la pili wakati BILL SHANKLY alopoanza kuwa kocha wa LIVERPOOL FC.
William "Bill" Shankly alitwaa:
3 league cups.
2 FA cups.
4 Community Shields
1 UEFA Cup.
Bob Paisley:
6 League Cups
6 Community Shields
3 Europian Cups
1 UEFA cup.(sasa ilibadilika na kuitwa CHAMPIONS LEAGUE msimu wa 92/93)
1 UEFA super cup.
Mashabiki wa LFC hongereni kwa kujivunia mafanikio ambayo hamkuyashuhudia; zaidi ya kutazama mikanda na Youtube.
Sasa ni zamu yetu kutawala kuweni wapole..
tarehe 27 nitakuwa ANFIELD wakati tunaweka mnapostahili.....hadi msimu huu uishe nitasapoti kila timu inayocheza na CHELSHIT!!!!!
hii imesababishwa na kelele zako agosti 8 Ntuzu na kocha wenu mourihno eeer JOSE MOURINHO
wajomba zangu ndio mashabiki wa liverpool.....wakati liverpool inatamba mimi hata mpira sijui ni nini??nimejua mpira man utd inatamba nikazama humo humo!!!! sawa wewe Chelsea imeanza kufufuka ABRAMOVICH alivoichukua usiniambia ndio hapo ulianza kupenda mpira....wewe ulikuwa man utd/arsenal ukahama!!!
some ------ deserve that kind of language....back to football now.....hivi mbona unatumia muda mwingi huku huna kwenu???
You will never walk alone at home
tarehe 27 nitakuwa ANFIELD wakati tunaweka mnapostahili.....hadi msimu huu uishe nitasapoti kila timu inayocheza na CHELSHIT!!!!!
hii imesababishwa na kelele zako agosti 8 Ntuzu na kocha wenu mourihno eeer JOSE MOURINHO
wajomba zangu ndio mashabiki wa liverpool.....wakati liverpool inatamba mimi hata mpira sijui ni nini??nimejua mpira man utd inatamba nikazama humo humo!!!! sawa wewe Chelsea imeanza kufufuka ABRAMOVICH alivoichukua usiniambia ndio hapo ulianza kupenda mpira....wewe ulikuwa man utd/arsenal ukahama!!!
Inaoneka wewe ndo umeanza kushabikia enzi hizo:
CHELSEA FC bingwa wa UEFA WINNERS CUP - 1998.
CHELSEA FC bingwa wa FA -1997.
CHELSEA 5 - 0 MAN UNITED ulikuwa unatazama mpira au ulikuwa bado?
nilikuwa natazama enzi hizo tunawachapa 5-0.

una maneno wewe....kama mzaramo!!! kikombe kinabaki ANFIELD...tarehe 27 ndio mwisho wenu
Ukizungumzia UEFA cup winners, hata west ham united, Everton, Man city, na team zngne za kawaida sana kama Sampdoria ya Italy, Dinamo tibilisi ya Georgia ZIMESHABEBA hilo KOMBE..
UKWELI ni kwamba Chelsea ilirudi kwenye ushindani wa kweli baada ya kuchukuliwa na MRUSI..
Teh Teh Teh Teh
Umeambiwa ukweli!