Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



If you stand for the truth you stand alone brother.

Mie nafurahia ninachopenda; wewe unataka nikufurahishe wewe?

Kina nani wanaoudhika na kushangaa labda wewe na utoto wako hapa JF.

behave please! Mimi kama jirani nachangamsha jukwaa lako..si kazi yangu kusema yote uliyofanya..mimi naanzisha na kuchangamsha mjadala..
WEWE kama hutaki sisi watu wa timu zingine tulete changamoto sema..? Ndo unavyotaka?
😕
 
Ukifuatilia mjadala mimi nilikuwa najibu hoja ya wenzako waliosema kwamba Chelsea imefufuka juzi. Nimemwaga hizo rekodi za makocha wawili wanaoheshimiwa sana na watu wa LIVERPOOL.
Nimekuonyesha kwamba hata wewe kuna wakati ulikuwa chini, chini kabisa. Ulipaswa kusoma na kuelewa kusudi langu la kupost kuliko kukimbilia na kumwaga dharau hapa jamvini.

safari yetu bado..
Mpira ni burudani jamani! Katika niliyoandika je ni ya uwongo? Mataji 4 ya UEFA LIVERPOOL imechukua miaka ya 70 na 80. Nilikuwa naeleza tu historia yenu... your own history brother Mosdef;
 

tatizo unapotosha watu humu ndani, kama unataka kuchangamsha hili jukwaa, leta hoja za maana na za kweli watu wachangie..

Toa hoja kama mshabiki wa soccer, na hapo umesema unaongea ukweli, ukwel upi unaongea hapo???..kama ungekuwa mkwel kwann usingeongele pia na mafanikio ya Liverpool kuanzia 1991 mpk sasa???

mimi kama nikiambiwa niichambue chelsea, ntaweka mazuri na mabaya yake pia..na siwez kupotosha hata kidogo..na wala stopindisha ukweli hata kidogo..ungekuwa kwel mshabik wa soccer, ungejitahid hata kidogo kufafanua na mafanikio mengne ya #LFC ..

Unasema mashabik wa liverpool wanafurahia mafanikio ya liver kuptia Youtube, na wakat unajua kabisa liverpool imeachive nn kuanzia 1990's to 2000's..

Toa hoja za maana ueleweka hapa..Mbona ndugu NTUZU tunaelewana nae vizuri tu hapa..

Ongea ukweli wa Team yako, Nami nitaongea Ukweli kuhusu team yangu,
 
What goes around .. comes around!
 

Hahahahahah, Agost8 bhana!!!!

Hebu ipitie na uisome tena hiyo post yako ambayo unasema ulikuwa ukijibu mijadala ya hao waliokuwa wanaisimanga Chelsea..

Afu fikiria kama wewe ungekuwa shabik wa liverpool, ungeijibuje hyo post???..asa kulingana na MANENO uliyomalzia kwa hapo chini, yanayohusu mikanda ya video na Youtube!!!!!!

Na je unaamini kuwa ulichokijibu, ndo kile haswa amabacho ulitakiwa kukijibu kulingana na huo mjadala!!!??

Ndiyo, Liverpool kama team nyngne imekuwa ikipotea na kurud kwenye form kila baada ya muda...sasa kama lengo lako lilikuwa hilo ulitakiwa uHit direct kwenye point...
 
:alien:
 


hakuna ukweli mtamu..nimehit ndo maana mmerespond aggresively.. huwa hamsemi kwmba mmewahi kuwa chini..ni kana kwamba mmekuwa juu siku zote. Nimeweka hali halisi BILL SHANKLY aliikuta LIVERPOOL FC second division:
 
hakuna ukweli mtamu..nimehit ndo maana mmerespond aggresively.. huwa hamsemi kwmba mmewahi kuwa chini..ni kana kwamba mmekuwa juu siku zote. Nimeweka hali halisi BILL SHANKLY aliikuta LIVERPOOL FC second division:

Kwan history ya Liverpool inaanzia wapi???..kabla ya kupanda league kuu ilivyojitoa Everton wakat ule, ilianzia wapi????

Na wakat huo liverpool ipo second division, Club iliyokuwa inadominate ENGLAND ni Man Utd kaka..

Kwan kuna team dunian ambayo ishaanzia kucheza league kuu moja kwa moja tangu ianzishwe?????
 

sasa kama ulikaa miaka 40 sijui 50 im not sure bila kushinda KOMBE LA UBINGWA WA ENGLAND mpaka alipokuja ABRAMOVICH tutaacha kusema mmefufuka juzi??

tangu amekuja huyo huyo mrusi mmeshinda ligi mara tatu.fa cup mara kadhaa,league cup,champions league na europa league.

kwa kifupi tangu ABRAMOVICH aje mmeshinda makombe yote,je kabla hajaja mliwahi kushinda makombe yote???

mmefufuka juzi...
agosti 8 Ntuzu msisahahu mimi ni man utd.....
 
Last edited by a moderator:


Nottingham Forest na Aston Villa hawajawahi kufanikiwa, hasa kwenye ubingwa wa Ulaya?

Man Utd ilikuwa na mataji 7 tu SAF alipoingia pale; nyie LIVERPOOL mlikuwa na mengi sana.Tazama sasa Man Utd kawafikia na kuwapita..

Napenda mafanikio interms of "quality" not only "quantity".

WE "CFC"
timu pekee kutoka UINGEREZA ambayo imechukua makombe yote yanayoandaliwa na UEFA.
timu pekee bingwa wa CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPA LEAGUE in the same season.
timu pekee kwenye PREMIER LEAGUE kufikisha rekodi ya pointi 95.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…