kwan CL ya 2005 alibeba nan???? au nayo ad tuangalie you tube...
hahahahah
HUWEZI!!!
Nottingham Forest na Aston Villa hawajawahi kufanikiwa, hasa kwenye ubingwa wa Ulaya?
Man Utd ilikuwa na mataji 7 tu SAF alipoingia pale; nyie LIVERPOOL mlikuwa na mengi sana.Tazama sasa Man Utd kawafikia na kuwapita..
Napenda mafanikio interms of "quality" not only "quantity".
WE "CFC"
timu pekee kutoka UINGEREZA ambayo imechukua makombe yote yanayoandaliwa na UEFA.
timu pekee bingwa wa CHAMPIONS LEAGUE NA EUROPA LEAGUE in the same season.
timu pekee kwenye PREMIER LEAGUE kufikisha rekodi ya pointi 95.

mlishiriki yote kwa wakati mmoja??? naomba nifafanulie msimu gani mmeshinda haya makombe mawili....nijuavyo mimi chelsea walishinda champions league 2011/12 season na walishinda europa league 2012/13 season na sio msimu mmoja ni CONSECUTIVE SEASONS......
Hahahah..makombe yote yanayoandaliwa na UEFA????
Intercontnental Cup na UEFA intertoto Cup (international football cup) yote yanaandaliwa na UEFA!!!!
Lini ushawahi kuyachukua hayo??
kweli si kazi yako ila usipotoshe. 27 jiandaeIf you stand for the truth you stand alone brother.
Mie nafurahia ninachopenda; wewe unataka nikufurahishe wewe?
Kina nani wanaoudhika na kushangaa labda wewe na utoto wako hapa JF.
behave please! Mimi kama jirani nachangamsha jukwaa lako..si kazi yangu kusema yote uliyofanya..mimi naanzisha na kuchangamsha mjadala..
WEWE kama hutaki sisi watu wa timu zingine tulete changamoto sema..? Ndo unavyotaka?
😕
kweli si kazi yako ila usipotoshe. 27 jiandae
Hahahah..makombe yote yanayoandaliwa na UEFA????
Intercontnental Cup na UEFA intertoto Cup (international football cup) yote yanaandaliwa na UEFA!!!!
Lini ushawahi kuyachukua hayo??
hapo kwenye red washiriki wa mashindano hayo wanatoka nchi au mabara yapi?
INTERCONTINENTAL = MORE THAN ONE CONTINENT.
The Intercontinental Cup, known earlier as European-South American Cup and Toyota Cup from 1980 to 2004 for commercial reasons by agreement with the automaker, was a football official competition endorsed by UEFA and CONMEBOL, contested between representative clubs from these confederations, usually the winners of the European Cup and the South American Copa Libertadores.
LIVERPOOL fc haijawahi kuchukua kombe la CUP WINNERS CUP hata siku moja!
The UEFA Cup Winners' Cup was a seasonal association football competition contested between member associations of European football's governing body, the Union of European Football Associations (UEFA). It was open to winners of domestic cup winners, such as the English FA Cup champions. Throughout its 39-year history, the UEFA Cup Winners' Cup was always a knock-out tournament with two-legged home and away ties up until the single match final staged at a neutral venue, the only exception to this being the two-legged final in the competition's first year. The first competition was won by Fiorentina, from Italy, who defeated Scotland's Rangers 41 over two legs to win the 1961 final. The competition was abolished in 1999; Italian team Lazio were the last team to win the competition when they beat Real Mallorca 21.[SUP][1][/SUP]
Barcelona are the most successful club in the competition's history, having won it on four occasions,[SUP][1][/SUP] followed by Anderlecht (Belgium), Milan (Italy), Chelsea and Dynamo Kyiv (U.S.S.R. / Ukraine) with two victories each. Barcelona, Atlético Madrid, Real Madrid (all from Spain), Anderlecht, Fiorentina (Italy), Rangers (Scotland), Arsenal (England) and Rapid Wien (Austria) hold the record for being runners-up the most times, with each team losing the final twice. Teams from England have won the competition the most, with teams from the country winning the competition eight times.[SUP][2][/SUP]
Hahahah..makombe yote yanayoandaliwa na UEFA????
Intercontnental Cup na UEFA intertoto Cup (international football cup) yote yanaandaliwa na UEFA!!!!
Lini ushawahi kuyachukua hayo??
sawa RRONDO;
lakini si umekubali kwamba sasa ni wazee wa 'record' angalau hapa umetulia tuliii.
Muulize na aUEFA Super cup walipochapwa goli NNE kwaoja
sidhani kama ni nyinyi pekee mmeshinda makombe yote yanayoandaliwa na UEFA....liverpool washashinda uefa cup ambayo ndio europa ligi sasa utasema vipi ni chelsea pekee??
vipi mshawahi kushinda CLUB WORLD CUP???

Hajabeba Intercontnental cup wala UEFA intertoto Cup, ambayo yote yapo endorsed na UEFA..
so kauli yake ya kwamba ashabeba makombe yote yanayoandaliwa na UEFA ni Null..
RRONDO naongea vitu ambavyo ninazo source; wenyewe wanajua kwamba UEFA CUP WINNERS CUP hawajawahi kuchukua mbona unawatetea? Wewe tulia waje waseme wenyewe..kuhusu hilo kombe kwenye rangi nyekundu; linaandaliwana FIFA.