Nimewaambia twende hoja kwa hoja.
Mimi nakubali .. na hata wewe mkuu Ntuzu najua unakubali kwamba Liverpool fc ni timu kongwe;
Ila kwenye ubora LIVERPOOL bado sana kwa msimu huu wako #32. sisi wazee wa vitendo CFC Simba wa Blue tuko #4.
Si unaona hata kwenye CHAMPIONS LEAGUE tupo tumebaki hadi sasa.
Kwenye ligi tumewatanguliza 'MAJOGOO na sisi SIMBA tuko nyuma nyao taratibuu:smile-big:
kesho
CHELSEA FC 78.
LIVERPOOL FC 77.
maana barua niliyowaandikia NORWICH imeshawafikia. Jumatatu hili jukwaa litabaki kimya sana.
Nimewaambia twende hoja kwa hoja.
Mimi nakubali .. na hata wewe mkuu Ntuzu najua unakubali kwamba Liverpool fc ni timu kongwe;
Ila kwenye ubora LIVERPOOL bado sana kwa msimu huu wako #32. sisi wazee wa vitendo CFC Simba wa Blue tuko #4.
Si unaona hata kwenye CHAMPIONS LEAGUE tupo tumebaki hadi sasa.
Kwenye ligi tumewatanguliza 'MAJOGOO na sisi SIMBA tuko nyuma nyao taratibuu:smile-big:
Mwana mpk Sasaivi wamekimbia wote!
Wewe Bado unawaona humu?
Teh Teh Teh Teh
Wanashabikia timu za mawazo!
Khe Khe Khe Khe
Ukweli wanaufahamu hao Imebaki nikubisha tu!
Chelsea na Mourinho ni kitu ingine Ati!
Naona unatafuta majibu ya kuja kujibu..njoo tu hata kama umekosa!
π
Kwa nini nisiitaje:
Timu 4 zilizobaki ni: Real Madrid, Bayern Munich, Chelsea, Atletico Madrid ongeza ya tano wewe.
hamna sehem yoyote ile niliyokosea..
Nilikuwa nakusanya hizo data zako za UEFA rankings..ili nikuthibitishie kwamba HUJAWA bora zaid yangu kwa miaka kwa kipind cha miaka 20, bali ni kwa kipind cha miaka 4 tu, ukilinganisha na cha kwangu cha zaid ya miaka 100 MKUU..
Hahahahahaha
Afu naomba tena nirudie kauli yangu..kwa upande wa UKONGWE, chelsea na Liverpool zote ni KONGWE..coz kuanzia mwaka 1905-2014 ni miaka 109, so ukisema team yako syo kongwe nakuwa napata tabu kukuelewa..
Unachotakiwa tu kusema umechelewa saaaaaaana kupata MAFANIKIO..
Mnaongea sana kama kocha wenu chiriku(Mao),tutawanyamazisha kama wenzenu Man city,.
hamna sehem yoyote ile niliyokosea..
Nilikuwa nakusanya hizo data zako za UEFA rankings..ili nikuthibitishie kwamba HUJAWA bora zaid yangu kwa miaka kwa kipind cha miaka 20, bali ni kwa kipind cha miaka 4 tu, ukilinganisha na cha kwangu cha zaid ya miaka 100 MKUU..
Hahahahahaha
Afu naomba tena nirudie kauli yangu..kwa upande wa UKONGWE, chelsea na Liverpool zote ni KONGWE..coz kuanzia mwaka 1905-2014 ni miaka 109, so ukisema team yako syo kongwe nakuwa napata tabu kukuelewa..
Unachotakiwa tu kusema umechelewa saaaaaaana kupata MAFANIKIO..
kwa mfano..
weka ushabik pembeni...
Nambie ipi ni team bora zaid spain this season!!!?
Hahahaha..
Mkuu Agost8 kwnza napenda sana Changamoto zako mwana..inapendeza sana, coz tunasaidiana kujua mengi sana kaka..
Umetumia kigezo cha UEFA club ranking kama ndo kipimo cha team bora kwa sasa, umetoa rank ya 2009 mpk sasa ambayo haijabadilika bado..sasa kwa kigezo cha hiyohiyo UEFA rank unayoitumia ni kwamba umekuwa bora kwa liver kuanzia mwaka 2008-2013 tu, hicho ni kipind mimi ambacho sijashiriki UCL kabisa kaka..na HUJAWA bora zaid ya LIverpool kwa miaka 20 kama unavyosema, kwa mujibu wa hizohizo takwimu za UEFA unazozitumia..
UEFA club rankings- 2006-2008
liverpool ilikuwa ya 3.
chelsea ilikuwa ya 7
UEFA club rankings-2005-2007
liverpool ilikuwa ya 6
chelsea ilikuwa ya 14
UEFA clubs rankings - 2004-2006
liverpool ilikuwa ya 5
chelsea ilikuwa ya 20
UEFA clubs ranking - 2003-2005
liverpool ilikuwa ya 10
chelsea ilikuwa ya 20
UEFA clubs ranking - 2002-2004
Liverpool ilikuwa ya 11
chelsea ilikuwa ya 25.
Kuanzia 90's sjaamua kuziweka hapa coz ingekuwa ni AIBU..
Mkuu Agost8 nilikwambia wewe ni bora zaid ya liverpool kuanzia 2009 mpk 2013 kabla ya August kwasababu mimi nilikuwa nmekosekana kwenye UCL kwa mda mrefu sana kaka..nadhan unalijua hilo..
lakin pamoja na kukosekana kwny UEFA kwa misimu karibia Mi3, kama utacheki kwenye:
UEFA ALL TIME RANKING LIST BY CLUBS - kuanzia 1955 mpaka msimu wa 2012/2013.. bado nimekuacha mbali sana kaka..
1.Madrid
2.Bayern Munich
3.Barcelona
4.Manchester utd
5. Ac milan
6. Juve
7. Benifica
8.LIVERPOOL
9. Dynamo kiev
10.Fc porto
ya 13 ni Arsenal na CHELSEA ni ya 17.
Mkuu Agost8 me nataka uelewe tu kwamba UEFA wanatoa ranks kulingana na clubs ambazo zipo Zinashiriki UCL, Liverpool haikuwepo UCL..
Na nikirud UCL hautakuwa juu yangu tena..coz kwa hizo ranks zimeonyesha kuwa kuna miaka ulichukua PL lakini still nikawa juu yako..Sahiv sipo CL so UEFA hawawez kuniweka hapo kaka..
NB: domination ya BAYERN sahv ulaya ni kubwa sana kulinganish na Barcelona misimu miwil/mitatu iliyopita. so japokuwa ni ranks za UEFA lakin Barca haistahili kuwepo namba MOJA kwa sasa..na ni tangu 2012 nadhan..BAYERN kwangu ni namba Moja..
Kwahyo mkuu agosti8 hujawa bora kuliko mimi kwa miaka 20 kwa mujibu wa UEFA, bali kuanzia 2008-2013..
Na hizo All time uefa club rankings zinaonyesha we bado ni mtoto mdogo saaana Europe!!!!!
NB. Liverpool na Chelsea zote ni club kongwe, coz chelsea ilianzishwa miaka miachache kdg mbele ya Liver, chelsea ilianzishwa mwaka 1905..so kwa ukongwe zote ni KONGWE ila liverpool ndo Ina MAFANIKIO zaidi.
unapobishana kwa hoja lazima uwe na mifano angavu..
so nilikuwa najaribu kuchimba mifano tu..
coz bwana Agost8 amesema chelsea ni bora zaid ya liver kwa miaka 20..so ikabid niingie ndan zaid kwa kutumia vigezo vyake vile vile vya UEFA rankings!!!!
Mkuu Mosdef na wengine wa liverpool fc: hali halisi kwa miaka 20 iliyopita; naomba niweke uthibitisho wangu mezani; kama kuna mtu anaona kuna jambo nimesahau aseme kwa hoja si kutukana; ustaarabu muhimu: Kipindi cha miaka 20 maana yake tangu mwaka 1994 hadi sasa Chelsea ametwaa mataji mengi zaidi kuliko Liverpool hii ni hoja yangu binafsi niliyoanzisha mchana wa leo:
LIVERPOOL FC "YOU WILL NEVER WALK ALONE"
1. Ubingwa wa UCL = 2005.
2. Ubingwa wa Super Cup = 2005.
3. Ubingwa wa FA = 2006.
4. Ubingwa wa FA = 2001.
5. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2012.
6. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2003.
7. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2001.
8. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 1995.
9. UEFA EUROPA CUP = 2001.
10.Super Cup = 2001.
11. Community Shield = 2001.
12. Community Shield = 2008.
hoja kwa hoja.. ni vema kwamba umekubali kwamba sisi pia ni bora. ukihesabu mavuno ya mataji ndani ya miaka 20 utagundua kwamba tumevuna zaidi yako. Sasa ukiongeza na hii misimu minne ambayo wewe umeshindwa kufuzu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ni wazi kwamba hali yako haijawa nzuri. Mpira ni kushindana kwa hoja Mosdef kuna watoto wanajifunzia humu; ni vizuri tuendelee kujibizana kwa hoja; Safi sana.π
Mkuu Agosti8 wewe ulileta hoja ya Ubora kwa kutumia kigezo cha UEFA rankings..
Ndo nikaamua nikuletee hizo ranks ulizokuwa unazitaka wewe!!!
Kwamba kwa mujibu wa UEFA ranks hujawa bora zaid ya Liverpool kwa kipind chote hicho cha miaka 20 mkuu..
kwahyo sahiv nashangaa umeigeuza hoja yako kaka..