Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimewaambia twende hoja kwa hoja.

Mimi nakubali .. na hata wewe mkuu Ntuzu najua unakubali kwamba Liverpool fc ni timu kongwe;

Ila kwenye ubora LIVERPOOL bado sana kwa msimu huu wako #32. sisi wazee wa vitendo CFC Simba wa Blue tuko #4.

Si unaona hata kwenye CHAMPIONS LEAGUE tupo tumebaki hadi sasa.
Kwenye ligi tumewatanguliza 'MAJOGOO na sisi SIMBA tuko nyuma nyao taratibuu:smile-big:

Khe Khe Khe Khe

Ukweli wanaufahamu hao Imebaki nikubisha tu!

Chelsea na Mourinho ni kitu ingine Ati!
 
Naona unatafuta majibu ya kuja kujibu..njoo tu hata kama umekosa!

🙂

Ngoja niwasaidie kumuita ndugu Yao Mr. Wise aje awasaidie!

Khe Khe Khe Khe

RRONDO babu SAF kaondoka Na timu yote! Dm kazoea no 7 tangu zamani akiwa Everton!

Khe Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niwasaidie kumuita ndugu Yao Mr. Wise aje awasaidie!

Khe Khe Khe Khe

RRONDO babu SAF kaondoka Na timu yote! Dm kazoea no 7 tangu zamani akiwa Everton!

Khe Khe Khe Khe

kesho
CHELSEA FC 78.
LIVERPOOL FC 77.

maana barua niliyowaandikia NORWICH imeshawafikia. Jumatatu hili jukwaa litabaki kimya sana.

Mwana mpk Sasaivi wamekimbia wote!

Wewe Bado unawaona humu?

Teh Teh Teh Teh

Wanashabikia timu za mawazo!
 
Nimewaambia twende hoja kwa hoja.

Mimi nakubali .. na hata wewe mkuu Ntuzu najua unakubali kwamba Liverpool fc ni timu kongwe;

Ila kwenye ubora LIVERPOOL bado sana kwa msimu huu wako #32. sisi wazee wa vitendo CFC Simba wa Blue tuko #4.

Si unaona hata kwenye CHAMPIONS LEAGUE tupo tumebaki hadi sasa.
Kwenye ligi tumewatanguliza 'MAJOGOO na sisi SIMBA tuko nyuma nyao taratibuu:smile-big:

Hahahaha..

Mkuu Agost8 kwnza napenda sana Changamoto zako mwana..inapendeza sana, coz tunasaidiana kujua mengi sana kaka..

Umetumia kigezo cha UEFA club ranking kama ndo kipimo cha team bora kwa sasa, umetoa rank ya 2009 mpk sasa ambayo haijabadilika bado..sasa kwa kigezo cha hiyohiyo UEFA rank unayoitumia ni kwamba umekuwa bora kwa liver kuanzia mwaka 2008-2013 tu, hicho ni kipind mimi ambacho sijashiriki UCL kabisa kaka..na HUJAWA bora zaid ya LIverpool kwa miaka 20 kama unavyosema, kwa mujibu wa hizohizo takwimu za UEFA unazozitumia..

UEFA club rankings- 2006-2008
liverpool ilikuwa ya 3.
chelsea ilikuwa ya 7

UEFA club rankings-2005-2007
liverpool ilikuwa ya 6
chelsea ilikuwa ya 14

UEFA clubs rankings - 2004-2006
liverpool ilikuwa ya 5
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2003-2005
liverpool ilikuwa ya 10
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2002-2004
Liverpool ilikuwa ya 11
chelsea ilikuwa ya 25.

Kuanzia 90's sjaamua kuziweka hapa coz ingekuwa ni AIBU..

Mkuu Agost8 nilikwambia wewe ni bora zaid ya liverpool kuanzia 2009 mpk 2013 kabla ya August kwasababu mimi nilikuwa nmekosekana kwenye UCL kwa mda mrefu sana kaka..nadhan unalijua hilo..

lakin pamoja na kukosekana kwny UEFA kwa misimu karibia Mi3, kama utacheki kwenye:

UEFA ALL TIME RANKING LIST BY CLUBS - kuanzia 1955 mpaka msimu wa 2012/2013.. bado nimekuacha mbali sana kaka..
1.Madrid
2.Bayern Munich
3.Barcelona
4.Manchester utd
5. Ac milan
6. Juve
7. Benifica
8.LIVERPOOL
9. Dynamo kiev
10.Fc porto

ya 13 ni Arsenal na CHELSEA ni ya 17.

Mkuu Agost8 me nataka uelewe tu kwamba UEFA wanatoa ranks kulingana na clubs ambazo zipo Zinashiriki UCL, Liverpool haikuwepo UCL..

Na nikirud UCL hautakuwa juu yangu tena..coz kwa hizo ranks zimeonyesha kuwa kuna miaka ulichukua PL lakini still nikawa juu yako..Sahiv sipo CL so UEFA hawawez kuniweka hapo kaka..

NB: domination ya BAYERN sahv ulaya ni kubwa sana kulinganish na Barcelona misimu miwil/mitatu iliyopita. so japokuwa ni ranks za UEFA lakin Barca haistahili kuwepo namba MOJA kwa sasa..na ni tangu 2012 nadhan..BAYERN kwangu ni namba Moja..

Kwahyo mkuu agosti8 hujawa bora kuliko mimi kwa miaka 20 kwa mujibu wa UEFA, bali kuanzia 2008-2013..

Na hizo All time uefa club rankings zinaonyesha we bado ni mtoto mdogo saaana Europe!!!!!

NB. Liverpool na Chelsea zote ni club kongwe, coz chelsea ilianzishwa miaka miachache kdg mbele ya Liver, chelsea ilianzishwa mwaka 1905..so kwa ukongwe zote ni KONGWE ila liverpool ndo Ina MAFANIKIO zaidi.
 
Mwana mpk Sasaivi wamekimbia wote!

Wewe Bado unawaona humu?

Teh Teh Teh Teh

Wanashabikia timu za mawazo!

unapobishana kwa hoja lazima uwe na mifano angavu..

so nilikuwa najaribu kuchimba mifano tu..

coz bwana Agost8 amesema chelsea ni bora zaid ya liver kwa miaka 20..so ikabid niingie ndan zaid kwa kutumia vigezo vyake vile vile vya UEFA rankings!!!!
 
Khe Khe Khe Khe

Ukweli wanaufahamu hao Imebaki nikubisha tu!

Chelsea na Mourinho ni kitu ingine Ati!

kwa mfano..

weka ushabik pembeni...

Nambie ipi ni team bora zaid spain this season!!!?
 
Naona unatafuta majibu ya kuja kujibu..njoo tu hata kama umekosa!

🙂

hamna sehem yoyote ile niliyokosea..

Nilikuwa nakusanya hizo data zako za UEFA rankings..ili nikuthibitishie kwamba HUJAWA bora zaid yangu kwa miaka kwa kipind cha miaka 20, bali ni kwa kipind cha miaka 4 tu, ukilinganisha na cha kwangu cha zaid ya miaka 100 MKUU..

Hahahahahaha

Afu naomba tena nirudie kauli yangu..kwa upande wa UKONGWE, chelsea na Liverpool zote ni KONGWE..coz kuanzia mwaka 1905-2014 ni miaka 109, so ukisema team yako syo kongwe nakuwa napata tabu kukuelewa..

Unachotakiwa tu kusema umechelewa saaaaaaana kupata MAFANIKIO..
 
najua kwamba sasa tumeelewana kwa sababu unajua kwamba nimepata MAFANIKIO tena umeweka kwa herufi kubwa.
 
hamna sehem yoyote ile niliyokosea..

Nilikuwa nakusanya hizo data zako za UEFA rankings..ili nikuthibitishie kwamba HUJAWA bora zaid yangu kwa miaka kwa kipind cha miaka 20, bali ni kwa kipind cha miaka 4 tu, ukilinganisha na cha kwangu cha zaid ya miaka 100 MKUU..

Hahahahahaha

Afu naomba tena nirudie kauli yangu..kwa upande wa UKONGWE, chelsea na Liverpool zote ni KONGWE..coz kuanzia mwaka 1905-2014 ni miaka 109, so ukisema team yako syo kongwe nakuwa napata tabu kukuelewa..

Unachotakiwa tu kusema umechelewa saaaaaaana kupata MAFANIKIO..

Mkuu kama vipi si utaje ulichovuna ndani ya miaka 20 yaani anzia mwaka 1994-2014. orodhesha ulichovuna na mie niweke hadharani tuone.
 
unaona umefuata hoja zangu taratibu:

kumbe sasa umeona raha ya kushabikia mambo ya "present" tense eeh?

safi sana ndo maana Chelsea Fc ni bora kuliko Liverpool FC kwa miaka 20.
kwa mfano..

weka ushabik pembeni...

Nambie ipi ni team bora zaid spain this season!!!?
 
hoja kwa hoja.. ni vema kwamba umekubali kwamba sisi pia ni bora. ukihesabu mavuno ya mataji ndani ya miaka 20 utagundua kwamba tumevuna zaidi yako. Sasa ukiongeza na hii misimu minne ambayo wewe umeshindwa kufuzu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ni wazi kwamba hali yako haijawa nzuri. Mpira ni kushindana kwa hoja Mosdef kuna watoto wanajifunzia humu; ni vizuri tuendelee kujibizana kwa hoja; Safi sana.🙂
Hahahaha..

Mkuu Agost8 kwnza napenda sana Changamoto zako mwana..inapendeza sana, coz tunasaidiana kujua mengi sana kaka..

Umetumia kigezo cha UEFA club ranking kama ndo kipimo cha team bora kwa sasa, umetoa rank ya 2009 mpk sasa ambayo haijabadilika bado..sasa kwa kigezo cha hiyohiyo UEFA rank unayoitumia ni kwamba umekuwa bora kwa liver kuanzia mwaka 2008-2013 tu, hicho ni kipind mimi ambacho sijashiriki UCL kabisa kaka..na HUJAWA bora zaid ya LIverpool kwa miaka 20 kama unavyosema, kwa mujibu wa hizohizo takwimu za UEFA unazozitumia..

UEFA club rankings- 2006-2008
liverpool ilikuwa ya 3.
chelsea ilikuwa ya 7

UEFA club rankings-2005-2007
liverpool ilikuwa ya 6
chelsea ilikuwa ya 14

UEFA clubs rankings - 2004-2006
liverpool ilikuwa ya 5
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2003-2005
liverpool ilikuwa ya 10
chelsea ilikuwa ya 20

UEFA clubs ranking - 2002-2004
Liverpool ilikuwa ya 11
chelsea ilikuwa ya 25.

Kuanzia 90's sjaamua kuziweka hapa coz ingekuwa ni AIBU..

Mkuu Agost8 nilikwambia wewe ni bora zaid ya liverpool kuanzia 2009 mpk 2013 kabla ya August kwasababu mimi nilikuwa nmekosekana kwenye UCL kwa mda mrefu sana kaka..nadhan unalijua hilo..

lakin pamoja na kukosekana kwny UEFA kwa misimu karibia Mi3, kama utacheki kwenye:

UEFA ALL TIME RANKING LIST BY CLUBS - kuanzia 1955 mpaka msimu wa 2012/2013.. bado nimekuacha mbali sana kaka..
1.Madrid
2.Bayern Munich
3.Barcelona
4.Manchester utd
5. Ac milan
6. Juve
7. Benifica
8.LIVERPOOL
9. Dynamo kiev
10.Fc porto

ya 13 ni Arsenal na CHELSEA ni ya 17.

Mkuu Agost8 me nataka uelewe tu kwamba UEFA wanatoa ranks kulingana na clubs ambazo zipo Zinashiriki UCL, Liverpool haikuwepo UCL..

Na nikirud UCL hautakuwa juu yangu tena..coz kwa hizo ranks zimeonyesha kuwa kuna miaka ulichukua PL lakini still nikawa juu yako..Sahiv sipo CL so UEFA hawawez kuniweka hapo kaka..

NB: domination ya BAYERN sahv ulaya ni kubwa sana kulinganish na Barcelona misimu miwil/mitatu iliyopita. so japokuwa ni ranks za UEFA lakin Barca haistahili kuwepo namba MOJA kwa sasa..na ni tangu 2012 nadhan..BAYERN kwangu ni namba Moja..

Kwahyo mkuu agosti8 hujawa bora kuliko mimi kwa miaka 20 kwa mujibu wa UEFA, bali kuanzia 2008-2013..

Na hizo All time uefa club rankings zinaonyesha we bado ni mtoto mdogo saaana Europe!!!!!

NB. Liverpool na Chelsea zote ni club kongwe, coz chelsea ilianzishwa miaka miachache kdg mbele ya Liver, chelsea ilianzishwa mwaka 1905..so kwa ukongwe zote ni KONGWE ila liverpool ndo Ina MAFANIKIO zaidi.
 
Mkuu Mosdef na wengine wa liverpool fc: hali halisi kwa miaka 20 iliyopita; naomba niweke uthibitisho wangu mezani; kama kuna mtu anaona kuna jambo nimesahau aseme kwa hoja si kutukana; ustaarabu muhimu: Kipindi cha miaka 20 maana yake tangu mwaka 1994 hadi sasa Chelsea ametwaa mataji mengi zaidi kuliko Liverpool hii ni hoja yangu binafsi niliyoanzisha mchana wa leo:

LIVERPOOL FC "YOU WILL NEVER WALK ALONE"

1. Ubingwa wa UCL = 2005.
2. Ubingwa wa Super Cup = 2005.
3. Ubingwa wa FA = 2006.
4. Ubingwa wa FA = 2001.
5. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2012.
6. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2003.
7. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2001.
8. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 1995.
9. UEFA EUROPA CUP = 2001.
10.Super Cup = 2001.
11. Community Shield = 2001.
12. Community Shield = 2008.
unapobishana kwa hoja lazima uwe na mifano angavu..

so nilikuwa najaribu kuchimba mifano tu..

coz bwana Agost8 amesema chelsea ni bora zaid ya liver kwa miaka 20..so ikabid niingie ndan zaid kwa kutumia vigezo vyake vile vile vya UEFA rankings!!!!
 
Mkuu Mosdef na wengine wa liverpool fc: hali halisi kwa miaka 20 iliyopita; naomba niweke uthibitisho wangu mezani; kama kuna mtu anaona kuna jambo nimesahau aseme kwa hoja si kutukana; ustaarabu muhimu: Kipindi cha miaka 20 maana yake tangu mwaka 1994 hadi sasa Chelsea ametwaa mataji mengi zaidi kuliko Liverpool hii ni hoja yangu binafsi niliyoanzisha mchana wa leo:

LIVERPOOL FC "YOU WILL NEVER WALK ALONE"

1. Ubingwa wa UCL = 2005.
2. Ubingwa wa Super Cup = 2005.
3. Ubingwa wa FA = 2006.
4. Ubingwa wa FA = 2001.
5. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2012.
6. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2003.
7. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 2001.
8. Ubingwa wa kombe la Ligi(capitol one) = 1995.
9. UEFA EUROPA CUP = 2001.
10.Super Cup = 2001.
11. Community Shield = 2001.
12. Community Shield = 2008.

Mkuu Agosti8 wewe ulileta hoja ya Ubora kwa kutumia kigezo cha UEFA rankings..

Ndo nikaamua nikuletee hizo ranks ulizokuwa unazitaka wewe!!!

Kwamba kwa mujibu wa UEFA ranks hujawa bora zaid ya Liverpool kwa kipind chote hicho cha miaka 20 mkuu..

kwahyo sahiv nashangaa umeigeuza hoja yako kaka..
 
unapobishana kwa hoja lazima uwe na mifano angavu..

so nilikuwa najaribu kuchimba mifano tu..

coz bwana Agost8 amesema chelsea ni bora zaid ya liver kwa miaka 20..so ikabid niingie ndan zaid kwa kutumia vigezo vyake vile vile vya UEFA rankings!!!!

SASA ZAMU YA 'SIMBA WA BLUE' CHELSEA FC 'THE BLUES' 1994-2014.

1. UEFA EUROPA LEAGUE = 2013.
2. UEFA CHAMPIONS LEAGUE =2012.
3. CUP WINNERS CUP = 1998.
4. SUPER CUP =1998.
5. PREMIER LEAGUE = 2005.
6. PREMIER LEAGUE = 2006.
7. PREMIER LEAGUE = 2010.
8. FA = 2012.
9. FA = 2010.
10. FA = 2009.
11. FA = 2007.
12. FA = 2000.
13. FA = 1997.
14. League Cup(capitol one cup) = 2007.
15. League Cup(capitol one cup) = 2005.
16. League Cup (capitol one cup) = 1998.
17. Community Shield = 2003.
18. Community Shield = 2005.
19. Community Shield = 2000.
 
hoja kwa hoja.. ni vema kwamba umekubali kwamba sisi pia ni bora. ukihesabu mavuno ya mataji ndani ya miaka 20 utagundua kwamba tumevuna zaidi yako. Sasa ukiongeza na hii misimu minne ambayo wewe umeshindwa kufuzu UEFA CHAMPIONS LEAGUE ni wazi kwamba hali yako haijawa nzuri. Mpira ni kushindana kwa hoja Mosdef kuna watoto wanajifunzia humu; ni vizuri tuendelee kujibizana kwa hoja; Safi sana.🙂

Mimi nakubadi kwamba kukaa 4 seasons bila UCL kumenishusha sana..

hilo sikatai, lakini Mkuu Agosti8 ukija kwenye hoja ya Ubora kwa kutumia Vigezo vya UEFA rankings, we bado umeshindwa kuwa bora zaid yangu kaka..

Na mimi naomba Ukubali kuwa umeanza kukusanya nguvu kuanzia mwaka 2004..na kwann uishie 1994, usianzie 1990 katika hizo takwim za trophies????
 
Mkuu Agosti8 wewe ulileta hoja ya Ubora kwa kutumia kigezo cha UEFA rankings..

Ndo nikaamua nikuletee hizo ranks ulizokuwa unazitaka wewe!!!

Kwamba kwa mujibu wa UEFA ranks hujawa bora zaid ya Liverpool kwa kipind chote hicho cha miaka 20 mkuu..

kwahyo sahiv nashangaa umeigeuza hoja yako kaka..

Nilikwambia 'official' UEFA rankings kwa timu zilianza kupangwa 2008/2009. nakakupa na orodha ya timu.
Nikaongeza tena kwamba kwa miaka 20 iliyopita mimi CFC ni bora kuliko wewe..sasa kwa kutumia mataji ndo hali halisi unayoona hapa jamvini kwmba nimekuzidi kabisa;

Mijadala kama hii ni mizuri kwetu sote; mpira ni kuelimishana; wewe unabaki LIVERPOOL FC na mimi ni CHELSEA FC."THE BLUES"

Nilichofanya ni kuweka FACTS. Hope tuko pamoja mkuu
.🙂
 
Back
Top Bottom