Bora tushinde kesho manake LFC akiaibishwa kesho basi Ntunzu na Mentor watapiga kambi hapa THE KOPnaona sasa tutapumua maana #ntuzu alikuwa anapiga sana mayoweeee kutwa kucha anatukejeri hapa kwenye thread yetu
Katika. Watu sijiamini kwa hili Mie number 1 sijui Kama LFC watabeba game ya Keesho bado hata kuchezwa siwezi kusema kitu tumetoka Chelsea Leo ujue hata Norwich wanaouwezo wakuharibu mambo baadae ya Keesho ndio nitakuwa na jibu. SG ndomana akawambia wenzake wafikirie Norwich sio Chelsea wanaocheza nao, Chelsea wamefikiria Atletico na LFC kuliko Sunderland so Keesho Norwich na LFC Fulltime ndio nitatoa jibu.Win tomorrow be crown the New Kings in town. Congratulations in advance. Najua Pazi hutaamini liverpool kubeba EPL kwa mara ya kwanza baada ya miaka yote ya kujaribu.
Mkuu hizi timu za mkiani ni nomaaaa. Norwich wako ICU na wanapigania kubaki EPL. Tusipobana mapaja kesho tumeliwaKatika. Watu sijiamini kwa hili Mie number 1 sijui Kama LFC watabeba game ya Keesho bado hata kuchezwa siwezi kusema kitu tumetoka Chelsea Leo ujue hata Norwich wanaouwezo wakuharibu mambo baadae ya Keesho ndio nitakuwa na jibu. SG ndomana akawambia wenzake wafikirie Norwich sio Chelsea wanaocheza nao, Chelsea wamefikiria Atletico na LFC kuliko Sunderland so Keesho Norwich na LFC Fulltime ndio nitatoa jibu.
Bora tushinde kesho manake LFC akiaibishwa kesho basi Ntunzu na Mentor watapiga kambi hapa THE KOP
Paka weusi hao walitukosesha ubingwa 2009 na ile baloon ball goal. Sina hamu nao hawa kabisa. Benitez alilia na nasikia aliumwa wiki nzima akiuguza machungu ya lile baloon goalTeh teh hatimaye paka weusi wavunja Daraja. Teh teh teh teh.
Watu wa Chelsea njooni huku....mbona hivyo???
Mkuu hiyo ni shughuli pevu sana ukizingatia Tony Pulis anatusubiri kwa hamuUp to this point liver inahitaji 10 pts from ANY of the remaining games kuweza kutawazwa mabingwa wapya.