Hujuma gani?
Mourinho akifungwa ndo anakuwa hivyo, watu washamzoea..kwanzia Italian press na ma refa zao hadi la liga..yeye mtindo wake wa (sisi chelsea/r.madrid/inter milan vs everybody else) unaanza kuchosha..alipoteza ramani la liga hivyo hivyo na sasa unaona, asipokuwa mwangalifu atapoteza ramani premier league ambapo ndo sehemu iliyobaki anapata kiheshima kidogo.
Mourinho inabidi abadilike..he is a sour man, he looks lost, he looks depressed..mtindo wake inabidi ubadilike. Kwanza nashangaa kwanini hujamtukana sana sana..mmepoteza mechi za kijinga tangia mwezi uliopita, Villa, Palace na sasa Sunderland. Nashangaa huoni pattern hapo. Na mechi kama hii ndo mlikuwa mnahitaji mtu kama Mata.
Mourinho huyu si wa 2004-07..hata wewe inabidi ujue hilo...nyie wenyewe mnajua kwanini mlimuondoaga kocha kifaa kama Ancelloti.
Hata kama Mourinho akishinda Champs league, trust me na kila football pundit anasema hivyo, hafai kuwa Chelsea zaidi ya hata miaka 2.