Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MKUU nenda kwenye thread yao kule utaziona comment kibao.
huku nikwa majogoo
pekee

Kumbukeni kua pamoja na kua Norwich mnabahati ya kuifunga lakini ipo katika hali ngumu ya kujinasua kuepuka kushuka darajaO🙂
 
Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"

5pts..
 
Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"

karibu sana mkuu
 
Kumbukeni kua pamoja na kua Norwich mnabahati ya kuifunga lakini ipo katika hali ngumu ya kujinasua kuepuka kushuka darajaO🙂

sasa sisi ndo tunaenda kuishusha kabisa! slogan ya liver ni Ushindi Lazima
 
mungu yupo upande wetu mwaka huu.

Chelsea ndio watakao tukabidhi ubingwa rasmi siku tutakapo chez a nao au kutunyima
 
LINE UP YANGU LEO

.......................................22.Mignolet.......................................

.....2.Johnson......... 37.Skirtel.............17. Sakho............38.Flanno

.............................21.Lucas.............8.Gerrald..................

.............24.Allen...................10.Coutinho...................31.Sterling......

..........................................7.Suarez.............................................

Subs
12.Moses
1.Jones
9.Aspas
5.Agger
20.Cissokho
 
Hujuma gani?

Mourinho akifungwa ndo anakuwa hivyo, watu washamzoea..kwanzia Italian press na ma refa zao hadi la liga..yeye mtindo wake wa (sisi chelsea/r.madrid/inter milan vs everybody else) unaanza kuchosha..alipoteza ramani la liga hivyo hivyo na sasa unaona, asipokuwa mwangalifu atapoteza ramani premier league ambapo ndo sehemu iliyobaki anapata kiheshima kidogo.

Mourinho inabidi abadilike..he is a sour man, he looks lost, he looks depressed..mtindo wake inabidi ubadilike. Kwanza nashangaa kwanini hujamtukana sana sana..mmepoteza mechi za kijinga tangia mwezi uliopita, Villa, Palace na sasa Sunderland. Nashangaa huoni pattern hapo. Na mechi kama hii ndo mlikuwa mnahitaji mtu kama Mata.

Mourinho huyu si wa 2004-07..hata wewe inabidi ujue hilo...nyie wenyewe mnajua kwanini mlimuondoaga kocha kifaa kama Ancelloti.

Hata kama Mourinho akishinda Champs league, trust me na kila football pundit anasema hivyo, hafai kuwa Chelsea zaidi ya hata miaka 2.


Siku zote hampendi kuambiwa ukweli!

Jose atabaki Kua bora siku zote! Sisi tukifungwa lazima kuwe na sababu yeyote ile! Na Ndio maana imekua sherehe kote kwasababu Sisi ni timu bora!
 
ingia pita mpaka barazan kuna uji raini utaukuta kwenye bakuri enderea kuunywa taratibu ukinyoosha utumbo maana walichokufanya Sunderland Jana sio kidogo.



Dah! Mwanangu huo uji utakua umenisaidia kweli! Maana Mike Dean na Sunderland walichonifanya,!? Napata buchungu kusimulia haki ya nani!

Teh Teh Teh Teh

Mkuu LEGE eti wangine wanasema nimehama kambi, kwa lipi hasa la kunihamisha kambi? Kwa kz nzuri ya Mike Dean?
 
Last edited by a moderator:
Chalsea dawa imewaingiaaaa kama ilivotuingia sisi man city..so tulieni kama mnanyolewa
 
Siku zote hampendi kuambiwa ukweli!

Jose atabaki Kua bora siku zote! Sisi tukifungwa lazima kuwe na sababu yeyote ile! Na Ndio maana imekua sherehe kote kwasababu Sisi ni timu bora!
Kwikwikwi kwi kwiiiiii

Jipe moyo ila mmepewa kitu paaa

Ramirez alistahili red card lakini hilo hamsemi

Namba nne inawahusu
 
Siku zote hampendi kuambiwa ukweli!

Jose atabaki Kua bora siku zote! Sisi tukifungwa lazima kuwe na sababu yeyote ile! Na Ndio maana imekua sherehe kote kwasababu Sisi ni timu bora!

Tim bora sio haya bana waulize wenzio man u sasa hivi wanachagua hata aina ya mavazi ya kuvaa mpaka aina ya utembeaji nayo wamebadili kabisaa.

Chelsea itaporomoka na kuharibikia mikononi mwa morinyo stay tuned.

huyu jamaa alifurukuta kwa misim kadhaa ikawa hora no uefa akaja kocha mwingine msim 1 tu uefa likatua darajani.

sasa hivi na alivyochoka kimbinu mbona msim huu hakuna cha kombe la ligi sijui uefa au sahani yoyote ile .
nawazee wake anao wategemea wakina etoo
 
Back
Top Bottom