Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hodiiiiii! Nilikuwa darajani nikiwashangilia Sunderland, kule maajabu yametokea mwaka huu tushindwe wenyewe tu maana dalili zote zinatuunga mkono!
 
jamani jamani, mnafurahi wakati daraja limekwenda na mafuriko ntuzu na agost8;walikuwa juu ya daraja wamekwenda na maji himahima tukawatafute,
 
Win tomorrow be crown the New Kings in town. Congratulations in advance. Najua Pazi hutaamini liverpool kubeba EPL kwa mara ya kwanza baada ya miaka yote ya kujaribu.
Katika. Watu sijiamini kwa hili Mie number 1 sijui Kama LFC watabeba game ya Keesho bado hata kuchezwa siwezi kusema kitu tumetoka Chelsea Leo ujue hata Norwich wanaouwezo wakuharibu mambo baadae ya Keesho ndio nitakuwa na jibu. SG ndomana akawambia wenzake wafikirie Norwich sio Chelsea wanaocheza nao, Chelsea wamefikiria Atletico na LFC kuliko Sunderland so Keesho Norwich na LFC Fulltime ndio nitatoa jibu.
 
Katika. Watu sijiamini kwa hili Mie number 1 sijui Kama LFC watabeba game ya Keesho bado hata kuchezwa siwezi kusema kitu tumetoka Chelsea Leo ujue hata Norwich wanaouwezo wakuharibu mambo baadae ya Keesho ndio nitakuwa na jibu. SG ndomana akawambia wenzake wafikirie Norwich sio Chelsea wanaocheza nao, Chelsea wamefikiria Atletico na LFC kuliko Sunderland so Keesho Norwich na LFC Fulltime ndio nitatoa jibu.
Mkuu hizi timu za mkiani ni nomaaaa. Norwich wako ICU na wanapigania kubaki EPL. Tusipobana mapaja kesho tumeliwa
 
Bora tushinde kesho manake LFC akiaibishwa kesho basi Ntunzu na Mentor watapiga kambi hapa THE KOP

MKUU usiwe na shaka kesho lazima tushinde aiseee
timu yetu sasa hiv IPO kwenye morally nzuri sana wachezaji wana ari ya ushindi kila mechi .
ingawa kwenye Moira lolote laweza tokea
 
Teh teh hatimaye paka weusi wavunja Daraja. Teh teh teh teh.
Paka weusi hao walitukosesha ubingwa 2009 na ile baloon ball goal. Sina hamu nao hawa kabisa. Benitez alilia na nasikia aliumwa wiki nzima akiuguza machungu ya lile baloon goal
 
Kama timu ilikuwa kuweza Presha ni Chelsea hata Chelsea Preshaaa inawaumiza sasa sijui Sie LFC! Kazi Keesho ipo EPL at his best! Kama tukishinda kweli kombe basi Borini apewe Medal yake haya mambo ya Loan yatavunjwa!.
 
Wakuu chacha mshindwe menyewe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nina wasi wasi na character tick tack ...... ...... tick tack .... .... all yours guys .... .... .... .
 
[h=1]Suarez urges fans to be calm[/h]
  • Last Updated: April 17 2014, 13:09 BST


[h=2]Luis Suarez has told Liverpool fans to stay calm as the club attempts to win its first top-flight title in 24 years.[/h]Norwich v Liverpool. Click here to bet.

484779403_3126046.jpg

Luis Suarez: Has scored 29 league goals for Liverpool this season
  • Related Content


The Reds currently top the Premier League table by two points from nearest rivals Chelsea with four games to go, with third-placed Manchester City six points worse off but with a game in hand.
Liverpool face Chelsea at Anfield a week on Saturday in a fixture that will be live on Sky Sports and could go a long way to deciding the outcome of this season's title race.
Uruguayan striker Suarez, 27, who has scored 29 league goals this season, has admitted he is avoiding media coverage of the season climax and is urging the club's supporters not to get carried away just yet.
"It's normal for the supporters to get excited and be discussing our chances," Suarez told the club's official website.
"When I'm out shopping or out with my family I bump into fans who mention it to me. I've told them to stay calm and not to worry. We'll be trying our best.
"For the players, it's probably best if we don't get involved in that kind of talk.
sui.gif
Bet now on the Premier League title race!

"Personally, I think that if I don't watch TV, listen to the radio or read about us on the internet it's better. I know what the situation is.
"Winning the title would be very special but we can't think about that yet."
Suarez paid tribute to manager Brendan Rodgers, who has done a remarkable job in his second season in charge, turning a side who finished seventh and 28 points behind league-winners Manchester United last season, into potential title winners this campaign.
"It's very important to see the manager relaxed," added Suarez.
"Brendan gives all of us confidence because he's good at his job. He believes in all of the squad and when you have that belief from your boss then it's easier to perform at your best."
 
Paka Jeusi la Sunderland limevamia darajani kutafuna panya wote!YNWA

Jezi mpya kwangu,kwa wife na kwa binti yangu!!Tulisimangwa mno khaa kwa miaka 24!!
Mpira duniani umerudi kwao,mpira umerudi nyumbani
 
Gus Poyet kaulizwa na mwandishi:

Who will win the title???

Akajibu: My friend Luis Suarez..
 
Up to this point liver inahitaji 10 pts from ANY of the remaining games kuweza kutawazwa mabingwa wapya.
 
Wale washabiki wa msondo waliokuwa wanapiga kelele hapa mpoooooooooo??????????kama upo sema jana na leo!! Boriniii scores Bhang!!
 
Hi, wana jf na THE KOP. Im new comer.
Hii ndo nafasi pekee wana Anfield, km kesho tutamla Norwich it means tuko juu kwa 4 points thidi ya wapinzani wetu. So, hata tukipoteza game 1 na kushinda zilizobaki tunanyanyua kwapa.
"The Long Wait"
 
Back
Top Bottom