duh,hii game ya leo yanaweza kutukuta yaliyowakuta chelsick jana,hv vitimu vinavyopigana kutoshuka daraja vinakaza sana sana wadau.ikizingatiwa wachezaji wetu muhmu wa kikosi cha kwanza leo tunawakosa.YNWA.
Teh Teh teh
Mmenikimbia ktk thread yetu kule?
Nimewafata humu kwenu tuendeleee na mnankasha wetu! Teh Teh Teh Teh Teh
Ukiwa fans Wa Chelsea raha sn!
Ni game nyepesi sana hiyo Mkuu..
Ondoa SHAKA kabisa!!!!
Hivi hii game inapigwa saa ngapi? Naona huku live scores wanaonesha ni 1900!
wewe mkuu jana si ndo ulijificha baada ya kuangukiwa tembe? Yaani ninyi sasa hivi hamna raha hata kidogo , hasa mkiwaza jinsi mtakavyoingia pale machinjioni!!
Saa 8 mchana kaka..mapema saana!
d d d d d d
Saa nane kamili au na dakika ngapi maana hii mechi si ya kukosa kabisa kwa sababu itakua na ushindani mkubwa kutoka kwa timu zote mbili.