Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

babtutu hebu nieleze, tatizo nini mbona mnashambuliwa sana? Ila nahisi beki 3 wenu anawagharimu.

Unajua mpaka sasa sijaenda uwanjani ila Liver wanakuwaga na kujisahau sana wanapokuwa wanacheza na timu ndogo, hii nilikuwa naiona sana ktk misimu miwili/mitatu hivi huko nyuma.
Hiki kitu wanatakiwa walifute kabisa.
Vilevile hawa norwich sii watu wa kukata tamaa, hata ukiwafunga wao wanachezaga mpira kama kawaida hawapanic hata kidogo ukizubaa wanakupiga bao
 
Last edited by a moderator:
Sasa liva wanafikisha point 80 kwa maana kua kwa sasa wako mbele kwa point 5 dhidi ya Chelsea, wakiwa wote wamecheza michezo 35
 
Ngoja tukamuangalie Wenger sasa anavyoteseka kama kawaida yake. leo sijui ndio watamfuta kazi? Baadae usiku Red devils. leo hakuna kuinuka kwenye kochi.
 
Mpiraa umekwisha,
Norwich 2 - 3 Liverpool

Daaah!!! Ahsante sana Skype.
Hali ilikuwa tete ukiweka na pressure ya kukaa at the top kwa kipindi hiki hali inakuwa tete kidogo
 
Last edited by a moderator:
Dah! Ni bora tu umeisha.
Sasa atakae kuja gheto (anfield) ni wetu, tutachinja na tutakula mpaka mifupa.
Hii ndio ilokuwa game ngumu kwetu.
 
Kutoka hapa supersports, mimi Skype wa jf, tukutane baadaye kwenye mtanange wa Babu mkuza vipaji akimenyana na Hull City.

Naomba kukuaga mkuu babtutu na mkuu Job K.
 
Last edited by a moderator:
Afadhali gemu imeisha. Lucas alikuwa anarukaruka.
Udogo wa kikosi nayo ni issue nzito!!
 
Beki hatuna zaidi ya skrtel,kiungo ya lucas mbovu faulo nyingi kuliko possesion,pumzi vijana hawana. Sio mbaya,pointi tumepata na ubingwa tutapata ila we need to Overhaul kikosi for nxt season.
 
Daaah!!! Ahsante sana Skype.
Hali ilikuwa tete ukiweka na pressure ya kukaa at the top kwa kipindi hiki hali inakuwa tete kidogo

Pole kwa presha kaka ila mmefanikiwa kujinyakulia nukta 3 baada ya kupata magoli ma 3.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Ni bora tu umeisha.
Sasa atakae kuja gheto (anfield) ni wetu, tutachinja na tutakula mpaka mifupa.
Hii ndio ilokuwa game ngumu kwetu.

Mkuu usiseme hivyo, bado Pulis anatusubiri kwa hamu! Hiyo nayo ni game ngumu sana kwetu!
 
Mignolet ni liabilty sana...huwa ana makosa ya kijinga sana!

BR itabid aache tabia ya kuweka nguvu sana kipindi cha kwanza, afu kipind cha pili anavurunda..

kipindi cha pili, Huwa hatueleweki kabisa!
 
Wale wa Arsenal tukutane kule kwenye uzi wenu, sijui upo ngoja niusake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…