we jamaa inaonekana unaishabikia norwich
hapana, haya livaa suarez gooo anakosa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaa inaonekana unaishabikia norwich
babtutu hebu nieleze, tatizo nini mbona mnashambuliwa sana? Ila nahisi beki 3 wenu anawagharimu.
Mpiraa umekwisha,
Norwich 2 - 3 Liverpool
Dakika ni ya 87, nor 2-3 liv
Daaah!!! Ahsante sana Skype.
Hali ilikuwa tete ukiweka na pressure ya kukaa at the top kwa kipindi hiki hali inakuwa tete kidogo
Dah! Ni bora tu umeisha.
Sasa atakae kuja gheto (anfield) ni wetu, tutachinja na tutakula mpaka mifupa.
Hii ndio ilokuwa game ngumu kwetu.