Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa Arsenal tukutane kule kwenye uzi wenu, sijui upo ngoja niusake.
Beki hatuna zaidi ya skrtel,kiungo ya lucas mbovu faulo nyingi kuliko possesion,pumzi vijana hawana. Sio mbaya,pointi tumepata na ubingwa tutapata ila we need to Overhaul kikosi for nxt season.
karibu sana kule na kama fitina ndio zinakuleta utaumbuka.
Afadhali gemu imeisha. Lucas alikuwa anarukaruka.
Udogo wa kikosi nayo ni issue nzito!!
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh
MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh
Jaman Lucas anacheza kwenye role ambayo syo yake!!!
Gerrard ilimchukua Game 3, kuizoea hii role yake mpya!!!
Mkuu usiseme hivyo, bado Pulis anatusubiri kwa hamu! Hiyo nayo ni game ngumu sana kwetu!
Sawa,ndio acheze faulo za kijingajinga km zile?! Kwan role ya Henderson ni ipi?! Kabadilishwa role mara ngapi na anafiti?! Allen nae,mbn anabadilika?! Suala la 2nd half ndio pumzi yenyewe niliyoizungumza
Ahsante sana kaka kwa update murua, utadhani nilikuwa naangalia live en direct
Km tutakua mabingwa huu msimu utakua na utawala wetu, coz wachezaji waliopendekezwa kugombea mchezaji bora wa EPL tumeingiza 3 kati ya 6, Gerrard, Suarez na Sturredge.
Mchezaji mdogo Sterling na Sturredge.
Na pia usisahau kuwa mfungaji bora lazima atoke anfield.