Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona ndugu yangu Pazi unazidi kujikita kilele Congratulation dude.
Sasa unaweza kufikishia salaam kwa Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Kutoka hapa supersports, mimi Skype wa jf, tukutane baadaye kwenye mtanange wa Babu mkuza vipaji akimenyana na Hull City.

Naomba kukuaga mkuu babtutu na mkuu Job K.

Asante Mkuu ushiriki wako tumeuona mpaka tulikuwa tunafikri na wewe ni mwenzetu. Wabheja sana!
 
Last edited by a moderator:
EPL hakuna game rahisi hasa muda Kama huu timu 5 za chini na timu 4 za juu kila kitu ni kigumu tolea mbali skillfull za Spain hii ndio ligi unatizama mpira unatoka Jasho wakati huchezi muhimu point 3 LFC YNWA! Hakuna kitu rahisi hata West Browich hataki kushuka tukumbuke City nao kazi wanayo sio sisi tu EPL badokokote sehemu 3 linaweza kuangukia Raheem Dogo kaanza kukomaa kigame LFC YNWA!
 
Beki hatuna zaidi ya skrtel,kiungo ya lucas mbovu faulo nyingi kuliko possesion,pumzi vijana hawana. Sio mbaya,pointi tumepata na ubingwa tutapata ila we need to Overhaul kikosi for nxt season.

Hapo nitakupinga aisee!!!

Lucas anacheza kwenye role ambayo hajaizoea kabisa kaka..Role yake anacheza Gerrard sahv..so usimlaumu sana..

Beki ya Skrtel na Agger, ndo partnership nzuri tulyonayo!!!..lakin for the past 2 matches, amekuwa anamuazsha sakho, na hii ni kutokana na kuepuka injuries zaid kwenye kikosi..kama unavyojua Agger is made of glass, Ni mwepes kupata majeruh..tangu amerecover, BR ndo kamtumia leo, Dk za mwisho!!!

Tatzo la Liverpool, second half, hawaperfome vizuri kama first half, Hiyo tabia itabid ibadilike coz inaweza ikatuumiza against Crystal Palace!!!!
 
Afadhali gemu imeisha. Lucas alikuwa anarukaruka.
Udogo wa kikosi nayo ni issue nzito!!

Jaman Lucas anacheza kwenye role ambayo syo yake!!!

Gerrard ilimchukua Game 3, kuizoea hii role yake mpya!!!
 
We have completed the first step, CL qualification now we are going for the next step BPL championship, Hope we will make it. Bravo YNWA
 
Nashangaa Wenzako wanaanza kupanga gape ya point5 huku wanasahau tarehe 27 inarudi Kua mbili? Teh Teh Teh

MIKE DEAN katuuuuuwa wajameni! Teh Teh Teh Teh

Tare he 27 gap litakuwa point 8 ndugu yangu... yaani usahau kabisa kuchukua points pale Anfield!
 
Sasa ndo naanza rasmi kuzungumzia gemu ya Chelsea...rafiki yangu na ndugu yangu Ntuzu karibu Anfield!
 
Last edited by a moderator:
Jaman Lucas anacheza kwenye role ambayo syo yake!!!

Gerrard ilimchukua Game 3, kuizoea hii role yake mpya!!!

Sawa,ndio acheze faulo za kijingajinga km zile?! Kwan role ya Henderson ni ipi?! Kabadilishwa role mara ngapi na anafiti?! Allen nae,mbn anabadilika?! Suala la 2nd half ndio pumzi yenyewe niliyoizungumza
 
Mkuu usiseme hivyo, bado Pulis anatusubiri kwa hamu! Hiyo nayo ni game ngumu sana kwetu!

Muhim tushinde game na chelsea, nadhan draw kwa pulis inatutosha ukizingatia tuna kibonde chetu (new castle) kinakuja gheto mech ya kufunga msimu.
 
Sawa,ndio acheze faulo za kijingajinga km zile?! Kwan role ya Henderson ni ipi?! Kabadilishwa role mara ngapi na anafiti?! Allen nae,mbn anabadilika?! Suala la 2nd half ndio pumzi yenyewe niliyoizungumza

Lucas na Henderson ni wachezaj wawil tofaut, Hendo ana pumzi sana, zaid ya Lucas, kwa mpira wa taratibu wa lucas, hatakiwi kucheza kwenye role kama alyocheza leo, nadhan kama tungekuwa na squad depth, sidhan kama angepangwa hii game..

Afu kama umemfatilia Lucas, tangu enzi za Benitez mpk sasa, Mchezo wake wa faulo ndo uleule, na hii ni kwasababu, yupo slow sana uwanjan!!!..

Mkuu jacjaz nakubaliana na wewe kuhusu pumzi 2nd half, nadhan huwa tunacheza kwa nguvu sana kipind cha kwanza aisee!!!
 
Kutoka hapa supersports, mimi Skype wa jf, tukutane baadaye kwenye mtanange wa Babu mkuza vipaji akimenyana na Hull City.

Naomba kukuaga mkuu babtutu na mkuu Job K.

Ahsante sana kaka kwa update murua, utadhani nilikuwa naangalia live en direct
 
Last edited by a moderator:
Km tutakua mabingwa huu msimu utakua na utawala wetu, coz wachezaji waliopendekezwa kugombea mchezaji bora wa EPL tumeingiza 3 kati ya 6, Gerrard, Suarez na Sturredge.
Mchezaji mdogo Sterling na Sturredge.
Na pia usisahau kuwa mfungaji bora lazima atoke anfield.
 
Umesahau na kocha bora ni BR...!
 
Back
Top Bottom