Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That was our main target... sasa tunaitafuta BONUS ambayo ni ubingwa!
pressure ilikuwa inapanda , pressure inashuka.......
Umekusudia kusema nini?
Wamejihalishia? Watakuwa wamekula mlo unaowastawisha au kuha.ra? watakuwa wamejiharia vya kutosha?
Chunga "urimi"/ulimi!
Mwaka huu naona bwawa la maini mmetakata
Hivi tukiwachinja Chelsea Anfield si ndio ubingwa? Au mechi ya leo ya City ndio imeshikilia ubingwa wetu?
Yah!! City km watashinda leo na kiporo chao kilichobaki watakua nyuma yetu kwa 3 points clear. So km chelsea watatufunga city wana uwezo wa kuzifikia points zetu. Tatizo ni kuwa liverpool tumefunga magoli mengi ila pia tumefungwa magoli mengi. So City wanaweza kutuzidi kwa goal difference.
wakuu,tusijipe matumaini makubwa kuchukua ndoo,ligi bado mbichi hii,dah!
#redordead #YNWA!