Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa ni kufanyia kazi matatizo tunayoyapata kipindi cha pili...
 
Umekusudia kusema nini?

Wamejihalishia? Watakuwa wamekula mlo unaowastawisha au kuha.ra? watakuwa wamejiharia vya kutosha?

Chunga "urimi"/ulimi!

Mkuu mbona hueleweki? Au kiswahili kwako ni tatizo niandike kibritish!!!
 
Leo Kama West Bromnwich watafanya kweli kwa City nitafurahi sana.. Muhimu sie ni kushinda na Chelsea ndio kuanzia hapo hata Mimi binafsi nitaongelea ubingwa kwa sasa bado.
 
Hivi tukiwachinja Chelsea Anfield si ndio ubingwa? Au mechi ya leo ya City ndio imeshikilia ubingwa wetu?
 
Hivi tukiwachinja Chelsea Anfield si ndio ubingwa? Au mechi ya leo ya City ndio imeshikilia ubingwa wetu?

Yah!! City km watashinda leo na kiporo chao kilichobaki watakua nyuma yetu kwa 3 points clear. So km chelsea watatufunga city wana uwezo wa kuzifikia points zetu. Tatizo ni kuwa liverpool tumefunga magoli mengi ila pia tumefungwa magoli mengi. So City wanaweza kutuzidi kwa goal difference.
 

City wana goal difference ya 55 na Liverpool wana 52...kwa hiyo hapo tunatakiwa kukamua hasa incase bingwa akiamuliwa kwa goal difference!
 
wakuu,tusijipe matumaini makubwa kuchukua ndoo,ligi bado mbichi hii,dah!
#redordead #YNWA!

Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.

Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…