Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The Magnificent unatengua kauli Yako mwenyewe? Khe Khe Khe

Napata shida kidogo kukuelewa ktk uchambuzi wako unapoilinganisha Chelsea na Liverpool na Man City!
Chelsea msimu huu imewapiga nyote Vzr tu! Sasa iweje city waonekana timu nzuri au Liverpool kuliko chelsea? Bila Shaka Wewe uko kinyume au una mahaba Zaidi!

Timu inayoshinda au kumfunga mwenzake Ndio timu nzuri! Tumeipiga city, Arsenal na Utd! Na Tunakuja kwako kukupiga!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu tukutane kule kwetu; maana hapa watakuja wale wanaotumia nguvu kuliko akili watakutukana.au umesahau?

Mwanangu kule Kwetu niko nimejaa tele!

Ila nilipenda uje Uone udhaifu Wa timu ya hawa ndugu zetu hasa ukizingatia biashara na Hawa Loserfool imefika!
 
Great season... itakua bonus tukupata kombe but anything from now ni over-achievement tu

Mate 1990 nlikuwa form four. Na umri huu natamani nione tena ndoo ikitua Anfield wakati binti yangu wa 'mazoezi' akiwa form four. Ni njema kwa afya yangu ujue.

Usisahau by that time ndo ulikuwa unaniibia na kuninyang'anya Naki wetu. Damn you!!!
 
Ongeeni sana coz ni kawaida yenu...but one thing is for sure-Anfield hamtatoka and it will be our pleasure kuchukua ubingwa kwa kuwachapa ninyi na kukata ngebe zote!!!

Karibuni Anfield...!
 
Ongeeni sana coz ni kawaida yenu...but one thing is for sure-Anfield hamtatoka and it will be our pleasure kuchukua ubingwa kwa kuwachapa ninyi na kukata ngebe zote!!!

Karibuni Anfield...!

MKUU hawa jamaa wanachonga sana aisee ni bora tukose kombe lkn tuwe tumemtandika vilivyo Chelsea maana hata kombe tukibeba huku tukiwa hatuja mwazibu huyu Mwana haram atachonga sana aisee na ubingwa utaonekana wa mafungu watajifanya kama wao ubingwa wetu haukawajumuisha .
hawa aisee inabidi tuwaazibu vilivyo ili kuwakata ngebe zote
 
Kwa hiyo Crystal Palace na Sunderland ni wazuri kuliko Chelsea...kwa hiyo argument yako, sivyo???
Hongera kwa hilo coz umenifanya nikajua timu nzuri zikoje!
 
Last edited by a moderator:

Usihofu mkuu hawa wakija Anfield lazima wachapwe...vijana NIA wanayo...SABABU wanayo na UWEZO wanao wa kumnyamazisha Mouthrinho!

YNWA...!
 
Khe Khe Khe Khe

Hii itakua wiki kubwa na nzuri kwa Torres kuzitembelea timu mbili alizowahi kuchezea!

Khe Khe Khe Khe

Tunampa nafasi na tutampa nafasi kucheza ili awaduge Vzr!

Yani km ubingwa chukueni Lkn si kwakuifunga Chelsea msimu huu!

Khe Khe Khe Khe
 
Kwa hiyo Crystal Palace na Sunderland ni wazuri kuliko Chelsea...kwa hiyo argument yako, sivyo???
Hongera kwa hilo coz umenifanya nikajua timu nzuri zikoje!

Bila Shaka Ndio CL walikua wazuri Ndio wakapata points 3 ata Paka!

Na mimi ni mzuri kuliko City, Utd, Arsenal na Loserfool! Na Bado Nakuja ili Uone MOTO Zaidi!

Khe Khe Khe Khe!
 
Usihofu mkuu hawa wakija Anfield lazima wachapwe...vijana NIA wanayo...SABABU wanayo na UWEZO wanao wa kumnyamazisha Mouthrinho!

YNWA...!

We mpe moyo tu ndugu Yako!

Posti Yake nimekua Nikiisoma nafurahi sn!

Mkuu LEGE huu ubingwa wenu ni dhahiri Wa mafungu mafungu ya kupewa!

Khe Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
Mate 1990 nlikuwa form four. Na umri huu natamani nione tena ndoo ikitua Anfield wakati binti yangu wa 'mazoezi' akiwa form four. Ni njema kwa afya yangu ujue.

Usisahau by that time ndo ulikuwa unaniibia na kuninyang'anya Naki wetu. Damn you!!!

Mkuu usihofu kwa jinsi vijana walivyo determined am very sure hii ndoo tunabeba!
Dalili na records zote zinaonyesha huu mwaka ni wetu... ila lazima tulibebe kombe kwa mbinde ili liwe TAMU zaidi!
 
We mpe moyo tu ndugu Yako!

Posti Yake nimekua Nikiisoma nafurahi sn!

Mkuu LEGE huu ubingwa wenu ni dhahiri Wa mafungu mafungu ya kupewa!

Khe Khe Khe Khe

Imebidi nicheke tu!

Sisi kubebwa??? Duh!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu usihofu kwa jinsi vijana walivyo determined am very sure hii ndoo tunabeba!
Dalili na records zote zinaonyesha huu mwaka ni wetu... ila lazima tulibebe kombe kwa mbinde ili liwe TAMU zaidi!

Mungu amrehemu Morinyo. Kifo chake ndo uzima wetu, coming the next match....
 
Mate 1990 nlikuwa form four. Na umri huu natamani nione tena ndoo ikitua Anfield wakati binti yangu wa 'mazoezi' akiwa form four. Ni njema kwa afya yangu ujue.

Usisahau by that time ndo ulikuwa unaniibia na kuninyang'anya Naki wetu. Damn you!!!
hahaaaaa....

Mwaka wa Brendan Rodgers huu... hata tusipobeba ndoo, tuko njema

Naki hajambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…