Leo tarehe 23 Bado kidogo tu tuje hapo kwenu!
Ntuzu nimekuja tena, karibu anfield jumapili. Najua maumivu ya Terry na Cech yatakuwa sababu kwako pindi utakapopokea kichapo. Ila kubali kuwa point tatu unaziacha pale pale nyumbani.
Nilishasema tangu mwanzo,zile timu zote ambazo walitufunga game za mwanzo hizi zinazofata kwao ni vipigo tu,hasa kwa zile timu zilizonifunga katika viwanja vyao vya nyumbani. Alianza Arsenal kutufunga kwao bao 2, akaja kwetu goli tano zikamuhusu.
Man city nae alitufunga kimizengwe,alipokuja kitaa goli 3 zikamuhusu. Sasa ni chelsea waliotufunga kimizengwe wanakuja kitaa na majeruhi yao kuoga goli.
Mimi nipo ndugu yangu.
"Nlikuwepo":bolt:

Karibuni ila mkilogwa tu mkapaki bus mtajuta kumfahamu Sir Rodgers. BR ukimpakia bus yeye analeta crane kusafisha!!
hahahahahahah!!!
BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeye akamletea hii..
View attachment 153528
Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"
Sijui huwa anazitoa wapi!!!!
hahahahahahah!!!
BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeiye akamletea hii..
View attachment 153528
Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"
Sijui huwa anazitoa wapi!!!!
Hahahahah! Christimas tree formation umetishaaaaaaaa! Liverpool daima
Kwenye game ya Chelshit, lazma atakuja na nyingne!!!
Manake sahv kila formation anayoiforn inamlipa!!!!
Karibuni ila mkilogwa tu mkapaki bus mtajuta kumfahamu Sir Rodgers. BR ukimpakia bus yeye analeta crane kusafisha!!
hahahahahahah!!!
BR, kwenye game ya juzi ile dhidi ya Norwich City, anasema kocha wa Norwich, Neil Adams, aliiga ile "Diamond Formation" basi ili kumdhibiti yeye akamletea hii..
View attachment 153528
Mwenyewe anaiita "X-MAS TREE FORMATION"
Sijui huwa anazitoa wapi!!!!
Labda CRANE YA KUINULIA JOGOO!
Khe Khe Khe Khe
Khe Khe Khe Khe Khe Khe
Ata akin na mfumo Wa 1-2-3-3-3 kipigo kiko pale pale!
MKuuu hakika sio siri siku na game yetu nikikufunga tuu nakununulia jezi original ya LIVER POOL. nitakutafuta kila kona hata kama upo mkoani itakufikia tuuuKhe Khe Khe Khe Khe
Umeona eeeeeeh!
Khe Khe Khe Khe Khe
Umeona eeeeeeh!