Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MKuuu hakika sio siri siku na game yetu nikikufunga tuu nakununulia jezi original ya LIVER POOL. nitakutafuta kila kona hata kama upo mkoani itakufikia tuuu


Mwanangu Mimi nipo bongo kimara

Km vp tutafutane basi!
 
Mashabiki wengi wa Chelsea, hawataki kuadmit kuwa kuumia kwa Terry na Cech ni Big blow, syo tu kwa game ya liverpool bali hata kwa game ya ATM ambayo naona Mourinho amefocus sana huko..

Ujue kila team ina Key players wake, players ambao wakiwa uwanjan, wachezaji wenzake wanapata ile hali ya kujiamini kulingana na mchango wake husika, JT amekuwa mchezaj muhim sana chelshit msimu huu, Cech naye hivyohivyo, kutokuwepo kwa wachezaj hawa wawili tu, ingawa ni wachache sana kuna madhara sana kwa chelshit..

Gerrard alizikosa game mbili zote za kwanza dhid ya Man city na chelsea, na zote tulipoteza, na siyo kwamba tulizidiwa uwezo, lakini kuna mtu muhimu sana alikuwa anakosekana uwanjani, mtu wa kuwafanya kina Countinho, RS, LS na kina JH wajiamini na kucheza kwa muongozo imara zaid, ndo maana nakumbuka, Gerrard alisafiri na team kwenye game dhid ya Man city pamoja na kwamba alikuwa majeruhi!!!

So i hope ATM watatumia hilo pengo vizuri sana, manake Chelshit akiingia fainali, Roho itaniuma sana aisee!!!

Chelshit hawadeserve chochote kwa aina ya mpira wanaocheza!!
 
Mwanangu Mimi nipo bongo kimara

Km vp tutafutane basi!

haina shida mkuu nitakutafuta kama vipi coz mm nipo mwenge .jumapili hii nitakuwepo mbezi ya huko kimara temboni kama vipi utakuwa na mda j2 hii nikutafute mkuu
 
MKuuu hakika sio siri siku na game yetu nikikufunga tuu nakununulia jezi original ya LIVER POOL. nitakutafuta kila kona hata kama upo mkoani itakufikia tuuu

Ntuzu na team yake ya Chelshit, siku hiyo watakufa kilaini saaana!!!

#TrustMe
 
Kinachonifurahisha ni kuona tu kuwa tunawacha na ku cement chances za ubingwa wetu!

Welcome to Anfield kijana...

kuna Wachezaji wao kama watatu hivi, najua watazomewa saaaana siku hiyo.. Torres, Willian na Salah..

Huyu Torres ye kshazoea kuzomewa pale, hawa wengne sasa willian na salah, watajuta kupangwa kwenye game hiyo!!!

Watazomewa saaana!!!!
 
kuna Wachezaji wao kama watatu hivi, najua watazomewa saaaana siku hiyo.. Torres, Willian na Salah..

Huyu Torres ye kshazoea kuzomewa pale, hawa wengne sasa willian na salah, watajuta kupangwa kwenye game hiyo!!!

Watazomewa saaana!!!!

Yaani cku hiyo Anfield will be packed afu itakuwa the LOUDEST pitch on planet...Chelsea lazima wapoteane!
 
LEGE MosDef na Gwamahala Naona mnasimuliana hadithi za kitoto za aulela ulela! Huyu anasimulia na Huyu anaitikia km Yuko usingizini!

Khe Khe Khe

Tulicheza Fainal game ya CL na Munich bila wachezaji muhimu Lkn KILICHO wapata Munich mnakifahamu! Nyie jidanganyeni tu!


LEGE mi niko Temboni tutafutane kabla ya mechi na Mimi nikupe Jezi ya Chelsea!
 
Last edited by a moderator:

I will be brutally honest....

Kwangu mimi tangu amesajiliwa Liverpool, Lucas hajawahi kuwa mchezaji wangu (he doesn't do it for me at all).

Kwangu mimi, he should be more of a fringe player kuliko kuwa kwenye starting lineup of a championship contender. Yuko more suited ku-star zaidi kwenye mid-table outfits (kama Man U ya sasa - lol!)
 

Wewe ndugu yangu naona huwa una-argue illogically all the time na bila kuzingatia context.

Hivi unajua ni mchezaji gani alikuwa ndiye spine & catalyst ushindi wa Chelsea wakati ule? Bado yupo Chelsea sasa??

Semifinal hii mnakutana na wababe wa counter attacking football in Europe na kwa ujinga wenu, kwenye marudiano Stamford Bridge mtataka kushambulia - mtakiona cha mtema kuni!!!
 
Last edited by a moderator:

Lucas, ni average player, lakin kipind kile wakat yupo form alitusaidia sana, 2008-2011, lakin nadhan majeruhi ya mara kwa mara yamempunguzia ile kasi yake aliyokuwa nayo!!

Siyo talented, lakin ni mpiganaji pia..Nadhan unakumbuka kipind kile wakat yupo kwenye form!!!!

Tunatakiwa kuongeza DM mwingne wa ukweli..Manake nimemskia AYRE anasema watanunua wachezaj kwa gharama yoyote ile, ambao BR atakuwa anawataka coz tupo UCL now..

Na unajua, Liverpool ikiwaga UCL, kila mchezaj mzuri HUPENDA kuja kuvaa the famous red t-shirt!!!
 

Sisi ni timu ata km Terry na Cech hawapo uwanjani hatupungukiwi kitu!

Sisi Sio km nyie mkimkosa SG basi mnalia tu!
 
Hahaha hahaha ujue nini liverpool inatupa big result now! Watapigwa tu na nasema tume choka lazima wapigwe kama tuna waaambia tuta wapiga na wanakataaa kuwa hatuta wapiga naagiza vijana wangu wa liverpool wa wapige tu wasilete ukaid wawapige tu!
 
Hahaha hahaha ujue nini liverpool inatupa big result now! Watapigwa tu na nasema tume choka lazima wapigwe kama tuna waaambia tuta wapiga na wanakataaa kuwa hatuta wapiga naagiza vijana wangu wa liverpool wa wapige tu wasilete ukaid wawapige tu!

Na wapigwe, tena wakomeshwe kabisa, wapigeni hata kumi plastic team ile Chelshit.

Benitez aliwapa Europa mwaka Jana lakini wanamuona hana kitu, huyu Moureen anatoka mikono mitupu na mpira wake unasababisha mashabiki wengi wa Chelshit sukari ipande kwa kupaki basi muda wote. Timu ikipaki basi shabiki anakuwa anatetemeeeeka dakika 90.
 
Sikiliza kijana Sisi ni timu Sio ya kulia kulia juu ya wachezaji!
Lineup ya nyuma Bado imesima imara kuanzia golini mpk mbele! Mwambie na na mwenzako MosDef hiyo uliyoitaja sio sababu!

Tunakuja Vzr sn

golini mpo vizuri? bila peter nyie hamna kitu,
 
Last edited by a moderator:

hakuna tatizo mkuu mm nitakuja mitaa ya temboni huko mkuu usiwe na wasiwasi aiseee??

jumapili lazima nitakuwa huko mkuu
 
From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.
 
From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.

J2 ni kumfumua tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…