Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.

Tumeshamzoea domo sie hata asemeje kipigo kipo pale pale!!
 
Henderson anaamini uwepo wa Sturridge katika gemu ya Chelsea utapelekea Mauaji hatari kuliko hata ya Interahamwe!!!
 
Tujikumbushe kidogo. Mshambuliaji hatari wa England ambaye keshatupia magoli 20 hadi sasa, licha ya kukosa baadhi ya mechi na anashikilia nafasi ya 2 katika leading goal scorers in Epl. Sturridge alitolewa nje katika ushnd mnono wa goli 3 dhidi ya Man city baada ya kupata shock ndogo ya msuli na alikosa trip ya Norwich j2 iliyopita ambapo pia liver ilishnda kwa goli 3-2.
 
Sturridge alimiss game ya Norwich lakini pia Henderson mashine hatari ambayo haijapata kutokea anfield missed the visit to carrow road akiwa anatumikia adhabu ya kwanza kati three-match ban baada ya kupata straight red card ktk gemu ya Man city.
 
Sturridge atakua fit katika 'crucial clash' itakayopigwa j2 na chelsea hapo anfield. ''He is a massive player for us'' alikaririwa Henderson akisema. Aliongezea kusema ''tulicheza vizuri sana pale currow road lakini ni bonus kubwa kuona sturridge amerecover kwa sababu malengo sasa ni kushinda zaidi, tumejikip firmly tuko fit na naamini tutashnda gemu ya chelsea'' alisema
 
From BBC Swahili;
"Mourhino anataka kupanga kikosi dhaifu game ya liverpool ili kwa kujiandaa zaidi na Atletico".
Huyu jamaa ni mpiga domo, anahofu na kichapo kikubwa. So anatafuta sababu na ujanja tujiachie ila jumapili ni kipigo tu.

Mkuu Ntuzu na agosti 8 vuvuzela lenu limeshaanza kuwajenga kisaikolojia tafadhali pitieni hiyo msije mkaanguka presha baada ya dk 90 hapo anfield on sunday!!!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi huku mitaani inabidi kama ulikuwa mshabiki wa Liverpool tok zamani ujikaushe tu, kumeibuka washabiki wengi kama uyoga, duh!

Humu napitaga kuangalia tu, kuna watu ni wabishi duh!
 
Siku hizi huku mitaani inabidi kama ulikuwa mshabiki wa Liverpool tok zamani ujikaushe tu, kumeibuka washabiki wengi kama uyoga, duh!

Humu napitaga kuangalia tu, kuna watu ni wabishi duh!

Una uwezo wa kipekee wa kuzuia hisia wenzako wakati tunachezea kichapo tulikuwa tunaugulia maumivu kimyakimya, ila siku izi the reds wanavotupa raha kila wakitupia goli lazima uruke kwenye benchi cjal watasema nini hahahahahaha!!
 
Mkuu Ntuzu na agosti 8 vuvuzela lenu limeshaanza kuwajenga kisaikolojia tafadhali pitieni hiyo msije mkaanguka presha baada ya dk 90 hapo anfield on sunday!!!

Chelsea mkimpania Suarez na Sturridge huyo hapa dogo janja atawaua
 

Attachments

  • Sterlng.jpg
    24.9 KB · Views: 37
Last edited by a moderator:
Naona mwapiga story wenyewe huku mwafurahi Khe Khe Khe Khe

J2 imekua Karibu sn ni keshokutwa tu!

Nakuja Vzr sn kuwapiga!

Baba Kelvin Kaa tayari!
 
Last edited by a moderator:
Naona mwapiga story wenyewe huku mwafurahi Khe Khe Khe Khe

J2 imekua Karibu sn ni keshokutwa tu!

Nakuja Vzr sn kuwapiga!

Baba Kelvin Kaa tayari!

Ntuzu bhana! unafanya nicheke sana! golkipa atakuwa hilali au? ila leo nimefurahi wakati nafungua jukwaa la sport uzi wa chelsea unaonesha mchangiaji wa mwisho ni mosDef na uzi wa liver mchangiaji wa mwisho ni ntuzu, hapo nikaamini kuna biashara inaendelea, lets wait 27
 
Last edited by a moderator:



Inapendeza sn Mkuu!

Biashara iko Mkuu tena kubwa sn!
 
LIVERPOOL VS CHELSEA "Back line Comparison"
Simon Mignolet v Mark Schwarzer
Mignolet has come under criticism after failing to collect a cross against Norwich which ultimately led to Norwich's first, but it came after a steady string of performances. In recent weeks the Belgian has shown more desire to command his area, while his distribution has improved.

Though Schwarzer is a year older, he is lightly-raced this season having played just one league game for Chelsea. At Fulham last season, he kept eight clean sheets, conceded an average of 1.58 goals per game and made an average of 3.58 saves per game.
Mignolet: 7
Schwarzer: 7

Jon Flanagan v Cesar Azpilicueta
Azpilicueta benefits from years of experience in France having played nearly 170 league games more than Flanagan, and is arguably a more refined, all-round defender.

But despite that, the Liverpool lad matches up well with the Spaniard, and actually provides more key passes per game (0.6) than Azpilicueta (0.4), as well as more dribbles and a better passing accuracy, highlighting what Flanagan offers in an attacking sense.
Flanagan: 8
Azpilicueta: 9

Martin Skrtel v Gary Cahill
Skrtel is more aggressive on the front foot, always looking to gain an advantage and take the ball before the forward gets there. He averages more tackles (1.3 v 1.1), more interceptions (1.7 v 1) and more clearances (11.8 v 7.1) per game; this, sometimes, can be to the Slovakian's detriment, with averaging twice as many fouls as the Chelsea man.

Cahill always looks a threat in the air in attack but has been unfortunate, hitting the woodwork against Manchester City and being denied by brave blocks on other occasions; Skrtel, meanwhile, has been prolific in front of goal and is the highest-scoring defender in the league.
Skrtel: 9
Cahill: 8


Glen Johnson v Branislav Ivanovic
The contrast is stark in terms of dribbles, with Johnson averaging 1.4 per game, while Ivanovic manages just 0.6; interestingly, however, the Serbian takes more shots on average, and is just squeezed out in terms of key passes.

Defensively, Johnson proves more than Ivanovic's equal with more tackles and interceptions per game – but the Chelsea defender's consistency is almost unrivalled in the league with few bad performances over the past six years.
Johnson: 8
Ivanovic: 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…