Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado ninatumaini na liverpool
Kwa mpira huu matumaini yafute Kabisa Mie Lucas siipendi hata kumuona mchezo wa Pasi nyuma matokeo ndio hayo mpira pasha Mbele tu unarudisha nyuma unampa mwenzako Presha game Kama hizi na mpira ndio si tizami tena bora nitizame game za mchangani.
 
Kosa tulilofanya ni hawa jamaa kututangulia nadhani second half maureen anasimika Dar express hapo golini!
 
Sasa inatakiwa vijana wa BR inabidi warejee na nguvu ya ziada maana ni wazi kuwa behewa linaenda kuunganishwa.
 
dar express tu? Wewe humjui morinyo, ataenda pale bandarini aje na makontena na masemitrela yote usisahau na yale mabehewa ya mwakyembe, morinyo siyo mtu akishakutangulia.
 
Job K jiandaeni kukutana na na malori, mabasi, makontena na mabehewa yote ya TAZARA na reli ya kati kipindi cha pili, vipi mtapenya?

Tayari ndugu yangu Kalkiti imeingiliwa chawa! Sujui kama hayo masemi tutayapita!
 
Last edited by a moderator:
Sasa inatakiwa vijana wa BR inabidi warejee na nguvu ya ziada maana ni wazi kuwa behewa linaenda kuunganishwa.

Hiyo ndo tabu ya morinyo akishakutangulia halafu akawa anakuogopa lazima ukumbane na makontena mazito yenye ujazo wa cc 1000000
 
dar express tu? Wewe humjui morinyo, ataenda pale bandarini aje na makontena na masemitrela yote usisahau na yale mabehewa ya mwakyembe, morinyo siyo mtu akishakutangulia.

teh teh teh teh teh teh hakika mkuu.
 
dar express tu? Wewe humjui morinyo, ataenda pale bandarini aje na makontena na masemitrela yote usisahau na yale mabehewa ya mwakyembe, morinyo siyo mtu akishakutangulia.

Mkuu hii ni hatari kwa kweli!
 
Mkubwa Gerald imemuuma kinoma...lazima atoke na pafu za Chelsick...
 
Kwa mpira huu matumaini yafute Kabisa Mie Lucas siipendi hata kumuona mchezo wa Pasi nyuma matokeo ndio hayo mpira pasha Mbele tu unarudisha nyuma unampa mwenzako Presha game Kama hizi na mpira ndio si tizami tena bora nitizame game za mchangani.

daaaa nitatizo sana MKUU
lakini haina shida hii game tunashinda MKUU
Sema ndio hivyo Chelsea sasa atapaki makontena na mabasi
 
Hiyo ndo tabu ya morinyo akishakutangulia halafu akawa anakuogopa lazima ukumbane na makontena mazito yenye ujazo wa cc 1000000

Ndio hvyo mkuu but yote kwa yote tusubiri hzo dakika 45 itakuwaje.
 
Haya haya asiye na mwana aeleke jiwe! Lala salama hiyooo tushuhudie masemi ya chelsick!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…