Ndio hvyo mkuu but yote kwa yote tusubiri hzo dakika 45 itakuwaje.
Ila matumaini ya Liva kupenya leo kipindi cha pili ni madogo sana na wasipomwangalia vzr Demba BA atawateketeza leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hvyo mkuu but yote kwa yote tusubiri hzo dakika 45 itakuwaje.
Mkubwa Gerald imemuuma kinoma...lazima atoke na pafu za Chelsick...
Ila matumaini ya Liva kupenya leo kipindi cha pili ni madogo sana na wasipomwangalia vzr Demba BA atawateketeza leo
hii gemu huwezi amini liverpool hawajajaribu shuti hata moja..
dk 55 naona bado liverpool wanaongoza umiliki wa mpira..
hii gemu huwezi amini liverpool hawajajaribu shuti hata moja..
hakika mkuu maana naona kuna watu 6 kama siyo 7 wanacheza hatua 1 zaidi ya lile box la mark Shwarzer.
Namwona Sturridge anajiandb kuingia
hili sasa ndo la kwanza..wamejaribu mkuu sema hawana On target.
Nani anatoka