Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dawa ya hawa ni kuwajalia tu humo humo kwenye makontena yao!
 
Geraaad laa anaokoa kipa wa chls wakat huo namwona mchezaj wa chls kaumia mguu, amekaa kabisa uwanjani
 
Naona vijana wa Josephina misuli inawabana hapa, sijui mbinu ya kupumua!?
 
Naona Gerard anajitahdi kwa hali na mali kurekebisha makosa yake.
 
f'king Mourinho is always defensive, parking that vehicle
 
Back
Top Bottom