Kwa mpira huu matumaini yafute Kabisa Mie Lucas siipendi hata kumuona mchezo wa Pasi nyuma matokeo ndio hayo mpira pasha Mbele tu unarudisha nyuma unampa mwenzako Presha game Kama hizi na mpira ndio si tizami tena bora nitizame game za mchangani.Bado ninatumaini na liverpool