Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo hatishi ..kwanza mchoyo wa pasi.. πŸ™‚
 
Aise wadau naona morinyo kashamaliza game kipindi cha kwanza, halafu namwona kama anapakia kiroba cha kwenye chupa au maji yale?
 
Aise wadau naona morinyo kashamaliza game kipindi cha kwanza, halafu namwona kama anapakia kiroba cha kwenye chupa au maji yale?

Hahaha Maji Mkuu.. πŸ˜‰
 
Allen anajaribu mashuti lakn hayajazaa matunda mbele ya ukuta wa Berlin ya morinyo
 
Aise wadau naona morinyo kashamaliza game kipindi cha kwanza, halafu namwona kama anapakia kiroba cha kwenye chupa au maji yale?

hakika mkuu maana kuna watu 6 wanacheza ndani ya box na hata kama wakitoka basi mita chache saana.
 
Sioni dalili ya liver kupata goli la move. Labda watandike mashuti, kona au tupewe penalt
 
Duh chini mipira haipenyi juu washambuliaji wa Liver weng wafupi! Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…