dk 70 wanangu wa liver mipango imeisha..
Liver wanakosa kile kinachoitwa PLAN B
Allen anajaribu mashuti lakn hayajazaa matunda mbele ya ukuta wa Berlin ya morinyo
naona wanakaza mpaka basi..Dawa ya hawa ni kuwajalia tu humo humo kwenye makontena yao!
chelsea wamemuondoa striker nini...
hyo ndiyo 9-1 mkuu.
hyo ndiyo 9-1 mkuu.
Naona vijana wa Josephina misuli inawabana hapa, sijui mbinu ya kupumua!?
Chls wote wamerudi kulinda goli lao