Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool wana ngebe sana...leo wanepakatwa wakae kimya..raha sana kuwa shabiki wa chelsea maana kila siku sukari guru tupu

Aione invisible

Aione kwa minajili ipi mkuu hebu niweke sawa hapo
 
nakupa like mkuu hongera zao ila mchezo huu morihno atletico pale darajani wanaondoka na ushindi
 

well said mkuu! Rodgers wiki nzima hii alikuwa anamsifia morinyo! Nadhani sasa atamsifia vizuri leo!
 
Inanikumbusha Ile meals Gerald alipowapa Chelsea goli ili Man Utd wasichukue kombe ah Leo naona kajisahau kazania Jana Man ndo wanaongoza
 
nakupa like mkuu hongera zao ila mchezo huu morihno atletico pale darajani wanaondoka na ushindi

mmm! Mkuu kwa game ya Chelsea na Atletico sina maoni maana lolote laweza tokea
 

Mkuu Nzi Na wao watamaliza na Newcastle..Nao siyo wakubeza..
 
Last edited by a moderator:
Nimekua naongea sn hapa kwa Zaidi ya mwezi sasa na yametokea! Pamoja na majeruhu wengi tulio nao tumeibuka washindi!

Poleni sn LIVERPOOL na pongezi sn kwa Mike Dean!

Mkuu nikupongeze kwa kuwa na ukuta mzuri make coutinho kajaribu kupenyeza mipira mingi lakini beki walikuwa wanaona na kuanua!!
 
Na sisi tungepaki basi tu aaaaghr!! Sasa itabidi tumuombee njaa city!
 
Bado naamini Liverpool watabeba kombe, no chance mta bottle it kwa mechi 2 zilizobaki. City hawatashinda mechi zao zote, everton watakuwa decider.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…