Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

article-2613791-1D5F13CC00000578-244_636x421.jpg

Hata kabla ya kuchukua ubingwa mnaanza gombana
menyewe kwa menyewe ... ..

article-2613791-1D5E750200000578-548_634x452.jpg

Hugs: Players laugh and joke about the incident,
but Suarez and Skrtel are still kept apart

article-2613791-1D5E752200000578-906_634x403.jpg

Heated: Philippe Coutinho and other South Americans
and Spaniards have Suarez's back

Anyway you better concentrate on your football because Mancs have got back their Yaya na Aguero .... .... ... ... it will be a long wait to the last matches.
 
Bado naamini Liverpool watabeba kombe, no chance mta bottle it kwa mechi 2 zilizobaki. City hawatashinda mechi zao zote, everton watakuwa decider.
Tusahau LFC hao Everton hata siku moja hamfungi City na jengine LFC najuwa City hapa Leo wanamfunga Palace inaonekana kirahisi ila LFC ubingwa ndio utafia palace rahisi kujua LFC nani wakumzuia hatuna zile middle zenye Nguvu Lucas ananiangusha sana Hendo ndio harudi mpaka last game na Newcastle na hii Game players Nguvu zishawaishia.
 
Kimenuka huko dressing room

article-2613791-1D5F13CC00000578-244_636x421.jpg

Hata kabla ya kuchukua ubingwa mnaanza gombana
menyewe kwa menyewe ... ..

article-2613791-1D5E750200000578-548_634x452.jpg

Hugs: Players laugh and joke about the incident,
but Suarez and Skrtel are still kept apart

article-2613791-1D5E752200000578-906_634x403.jpg

Heated: Philippe Coutinho and other South Americans
and Spaniards have Suarez's back

Anyway you better concentrate on your football because Mancs have got back their Yaya na Aguero .... .... ... ... it will be a long wait to the last matches.
hehehe kaka media sio wakuwasikiliza hao wanaocheza football game ya tennis hapo ni zile hata Mimi na wewe tunabishana ume cheat au sio goli umegusa nyavu ndio kilichokuwa hapo wote wa huku na huku wanabishana ila kupigana hawajapigana suarez na skertel wameezidisha ubishano kila kataka kushinda ukiitizama picha hazifanani na zile wanapigiana au game uwanjani wanalalamikiana mpaka karibu ngumi.
 
BREAKING: Steven Gerrard loses his mind as Anfield hero seen climbing trees in Liverpool zoo

BmPOICzCYAEb_vw.png
 
Duh! Chifu unauwa!! Halafu kuna picha mtandaoni inaonyesha jamaa walikuwa wameshaanza kuuza fulana zilizoandikwa Loserfools mabingwa wa 2013-2014!!
 
Tusahau LFC hao Everton hata siku moja hamfungi City na jengine LFC najuwa City hapa Leo wanamfunga Palace inaonekana kirahisi ila LFC ubingwa ndio utafia palace rahisi kujua LFC nani wakumzuia hatuna zile middle zenye Nguvu Lucas ananiangusha sana Hendo ndio harudi mpaka last game na Newcastle na hii Game players Nguvu zishawaishia.

Ukweli ni kwamba #LFC ubingwa ndo basi tena!
 
Analipwa 200k..lakin kwenye game muhimu kama hizi, Huwa anatuangusha sana!!!

inaumiza sana!

Ndiyo kiwango chake...tena furahieni leo hajaondoka na sikio au pua ya mtu huyo shuzilaulezi.
 
Mkaanga sumu, naona umepiga kambi sana leo huku!!

Upo nafasi ya ngapi kwenye PL??
 
Duh! Chifu unauwa!! Halafu kuna picha mtandaoni inaonyesha jamaa walikuwa wameshaanza kuuza fulana zilizoandikwa Loserfools mabingwa wa 2013-2014!!

They got carried away by media hype and Liverpool-biased pundits.

Mfano, leo media ilimwonyesha Caragher jukwaani wakasema eti hapo atakuwa anajilaumu kwa nini ali-retire.

Kwa ile slip ya Gerrad sidhani kama atakuwa anajilaumu kustaafu.
 
Duh! Chifu unauwa!! Halafu kuna picha mtandaoni inaonyesha jamaa walikuwa wameshaanza kuuza fulana zilizoandikwa Loserfools mabingwa wa 2013-2014!!
Zile Flanna sio official hata Man united walivyokosa ubingwa kwa City kumbuka wao walichapisha official zile za LFC mtu Irish kajaribu kutengeneza pesa weka kitu official!
 
Back
Top Bottom