Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Well!Football ni mchezo wa kutumia makosa.Tumefanya makosa wametumia makosa wametufunga.Kosa la Gerad ndilo lilimaliza mchezo.
Bingwa anayestahili ni yule anayefanya makosa machache.Ubingwa ulikuwa mikononi mwetu na sasa haupo tena.Hata tukipata points zote 6 kwenye mechi za mwisho bado goal difference yetu ni ndogo ukilinganisha na city.Tumezidiwa goal difference ya 8 mpaka sasa kwa gem yao inayoendelea.Inaweza kufika 10 au hata na zaidi mpaka gem hii iishe.So ubingwa ni kazi sana kwa kutegemea goal difference na city,ni kama vile haiwezekani.
Labda city apoteze au apate droo kitu ambacho na sisi pia hatuna uhakika wa kushnda mechi zote.So kwenye gem zilizobaki we have equal chances!
Otherwise leo ndo ilikuwa mwisho wa 11 successive wins.Mwisho pia wa kusema "tangu mwaka uanze hatujapoteza mechi"!
YWNWA 4rever....!
Mkuu huu msimu ni wetu dalili zote nishaziona toka mwanzo...ukae ukinua hao City wenyewe wapo under a very great pressure saivi.
Tare he 11 May LFC ndo watatawazwa mabingwa wapya wa Uingereza!