Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbu Best wangu nakwambia kati ya siku nimeumia kifan ni kati ya leo Kamanda wangu.

Tuitakie kila la Everton ituzuilie hawa man cty.

Hahaaa adui mwombee njaa....City akishiinda mechi zote ndo Bingwa...Everton hana historia ya kuifunga CIty
 
Mbu Best wangu nakwambia kati ya siku nimeumia kifan ni kati ya leo Kamanda wangu.

Tuitakie kila la Everton ituzuilie hawa man cty.

Baada ya mwaka mmoja leo nimehisi maumivu mapya ya vidonda vya tumbo. Actually niliamini kwa asilimia 60 tungeshinda ile gemu.
Basi tufanye dua la kuku kwa man city.
 
Last edited by a moderator:
BmPA-tLIIAA37v1.jpg

Mkuu EMT ktk picha zote nimeipenda sn hii!

Jose kiboko Yao!
 
Last edited by a moderator:
Sasa Biashara na nyie imeisha Leo!

Karibu sn ktk Uchambuzi Wa soka sasa!

Mr. Wise pole sn Mkuu!

Naam Una nini cha kuniambia Leo ktk timu zote hizi 4 ambazo ziko top four?
 
Last edited by a moderator:
"Now we can say we won both matches against
the champions. If the champion is Liverpool, we
won both matches against Liverpool; if the
champion is Man City, we won both matches
against Man City."
 
Sidhani kama ni zaidi yangu mkuu! Pengo la Hendo litaonekana daima...na hili ndo tatizo la kuwa na thin squad..!

Mkuu tumecheza tukiwa na majeruhu wengi!

Eto'o, Terry, Cech, Hazard Lkn tumecheza Vzr na tumeshinda! Tatizo ni timu kutegemea baadhi ya wachezaji! Kwahiyo WAKIWA hawapo timu inaboronga!
 
Baada ya mwaka mmoja leo nimehisi maumivu mapya ya vidonda vya tumbo. Actually niliamini kwa asilimia 60 tungeshinda ile gemu.
Basi tufanye dua la kuku kwa man city.

MKUU ningum sana hiii yaani hapo suala la ubingwa ni lakusahau kabisaaa usitegemee kwa style hii man city atapoteza game hata 1 nimwendo WA kushinda tuuu tena gori nyingii
 
MKUU kumbe tupo wengiii sisi wengine timu ikifungwa hali inakuwa mbaya sana aisee

Acha kabisa unajua ile advantage ya kuwa home ilinpa matumaini sana kiasi kwamba nikaamini chelsea wakbana sana basi matokeo itakuwa droo lakini imekuja kinyume kabisa!
 
Sidhani kama ni zaidi yangu mkuu! Pengo la Hendo litaonekana daima...na hili ndo tatizo la kuwa na thin squad..!

Kwa kweli imetugharimu kwa kutokuwepo hendo tunasubr kama zawadi matokea mabaya kwa man city otherwise tunashukuru kwa kufuzu michuano ya Ucl.
 
Mbu Best wangu nakwambia kati ya siku nimeumia kifan ni kati ya leo Kamanda wangu.

Tuitakie kila la Everton ituzuilie hawa man cty.

....Keep the faith Bro, It's not Over tip it's all over!....
pole sana kamanda.
 
Kwa kweli imetugharimu kwa kutokuwepo hendo tunasubr kama zawadi matokea mabaya kwa man city otherwise tunashukuru kwa kufuzu michuano ya Ucl.

Pole sn Mkuu! Lkn Mimi nilikua nawambia kila siku humu!

Na niliwambia SG itamuuma sn kwasababu hajawahi chukua EPl.

Anyway ndio mambo!

Liverpool wanaitaji Muda kidogo ndio wakae Vzr kwasababu Kule mbele bado wanafanya makosa sn kwasababu wanachezea sn nafasi bila kufunga!

Na upande Wa viungo bado kuna shida! Viungo bado hawajawa imara sn na kuweza kuimiri mikiki mizito!

Na upande Wa beki ndio hivyo kuko na makosa! Bado kunatakiwa kuongoza nguvu!

Ktk CL next season Liverpool anaweza asifike Mbali Kwani ata ktk hii EPL ni makosa ya Chelsea na City kupoteza game kadhaa ndio kumeipa nafasi Liverpool kuongoza ligi mpk sasaiv!
 
kwahili la leo BR Nadhani kuna kitu kikubwa sana kajifunza,lakini mpaka tulipofika tunampa kudos za kutosha,katurudisha champions league after 4 years! Wasiwasi wangu upo kwenye ishu za usajili,bado huyu jamaa hayupo vizuri kwenye kuchagua wachezaji wa ukweli,alijitahdi kwa coutinho na sturidge,tunahtaji proved DM,LB,na Backup striker ya akina suarez
 
Sasa Biashara na nyie imeisha Leo!

Karibu sn ktk Uchambuzi Wa soka sasa!

Mr. Wise pole sn Mkuu!

Naam Una nini cha kuniambia Leo ktk timu zote hizi 4 ambazo ziko top four?

Asante Mkuu!!Hongera bwana, mbinu zako zimezaa matunda, Mou akipotezaga kama hivi huwa anasemaga "The Best Team Lost" ....Hongereni TU, ngoja sisi tujaribu kuendelea kusubiri mwsho wake ila tumeipoteza ile nafasi yetu ya kua na advantage, now imehamia kwa City tena.
 
Pole sn Mkuu! Lkn Mimi nilikua nawambia kila siku humu!

Na niliwambia SG itamuuma sn kwasababu hajawahi chukua EPl.

Anyway ndio mambo!

Liverpool wanaitaji Muda kidogo ndio wakae Vzr kwasababu Kule mbele bado wanafanya makosa sn kwasababu wanachezea sn nafasi bila kufunga!

Na upande Wa viungo bado kuna shida! Viungo bado hawajawa imara sn na kuweza kuimiri mikiki mizito!

Na upande Wa beki ndio hivyo kuko na makosa! Bado kunatakiwa kuongoza nguvu!

Ktk CL next season Liverpool anaweza asifike Mbali Kwani ata ktk hii EPL ni makosa ya Chelsea na City kupoteza game kadhaa ndio kumeipa nafasi Liverpool kuongoza ligi mpk sasaiv!

tutasajili.
 
Sasa naamini kiasi fulani utakua Umeona ni kwanini sisi hua tunajiamini!

Bado mko na chance Mkuu!

Lkn timu yenu kwa msimu ujao ndio inaweza ikawa Vzr Zaidi ya huu msimu Na BR pia anatakiwa abadilike sn ktk aina ya mpira anaofundisha!

Na pia kwa sasa naweza nikatoa mawazo huru kuhusu timu yeyote ata yng pia!
 
Pole sn Mkuu! Lkn Mimi nilikua nawambia kila siku humu!

Na niliwambia SG itamuuma sn kwasababu hajawahi chukua EPl.

Anyway ndio mambo!

Liverpool wanaitaji Muda kidogo ndio wakae Vzr kwasababu Kule mbele bado wanafanya makosa sn kwasababu wanachezea sn nafasi bila kufunga!

Na upande Wa viungo bado kuna shida! Viungo bado hawajawa imara sn na kuweza kuimiri mikiki mizito!

Na upande Wa beki ndio hivyo kuko na makosa! Bado kunatakiwa kuongoza nguvu!

Ktk CL next season Liverpool anaweza asifike Mbali Kwani ata ktk hii EPL ni makosa ya Chelsea na City kupoteza game kadhaa ndio kumeipa nafasi Liverpool kuongoza ligi mpk sasaiv!
mkuu mengi nimekubaliana na wewe kuhusu Mbele si kweli LFC inahitaji majembe tu ya kati ambayo Kama kina Yaya toure, Kama vile Matic na Mikel na Lampard walivyosimama kati zile Middle zenye Nguvu za kukaba ukiwa nazo hata mabeki wawe wabovu wataonekana wazuri, na Kama navyosema LFC hawakuwahi kufika April-May miaka mingi sehemu Kama hii na ukitegemea point hazijakimbia sana si kwamba alikuwa top kwa Point 9 angekuwa point 9 yangekuwa mengine haya ni mafunzo ila sehemu sikubaliani na wewe kuhusu LFC bila City au Chelsea wasingekuwa hapo? Hayo ni matatizo ya. City na Chelsea wenyewe kumbuka nao isingekuwa LFC kupoteza Point na Aston Villa na West Brown pia nao LFC wamewatengenezea Chelsea na City Kama Leo Chelsea kumtengenezea City ni Football au tukumbuke Arsenal walikuwa top muda mrefu na point nyingi je hao nao hawakuwatengenezea Chelsea? Kubalini LFC msimu huu imecheza vizuri kilichowaangusha mazoea ya Presha za muda Kama huu sasa nyie Wenye ujuzi wa wachezaji wengi waliopitia huu muda mbona mpo chini yetu au mpo juu yetu? Jibu upo juu yetu au chini? City ndio atakuwa bingwa Chelsea akiwa bingwa nitajitangaza mshabiki wa Chelsea na Picha nitawapa muianike au muanzishe Thred Pazi kahamia Chelsea na haitotokea ila Jibu upo juu yetu au chini.
 
Mkuu Pazi nakubaliana na wewe kua msimu huu mmefanya Vzr ndio Maana mko hapo ata Mimi nakubali Hilo!

Sasaivi Mimi natoa maoni yng huru bila kuengemea upande wowote kwasababu nimemaliza Biashara na wewe! Sasa km wewe unataka tubishane tu kimahaba sawa!?

Lkn mi niko huru kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom