Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbu Best wangu nakwambia kati ya siku nimeumia kifan ni kati ya leo Kamanda wangu.
Tuitakie kila la Everton ituzuilie hawa man cty.
Sidhani kama ni zaidi yangu mkuu! Pengo la Hendo litaonekana daima...na hili ndo tatizo la kuwa na thin squad..!
Hii gemu imeniuma sana asa iv kichwa kinauma ngoja nigonge action nipoze kidogo!
Baada ya mwaka mmoja leo nimehisi maumivu mapya ya vidonda vya tumbo. Actually niliamini kwa asilimia 60 tungeshinda ile gemu.
Basi tufanye dua la kuku kwa man city.
Kombe linaenda Anfield...!
Utacheki gemu mbili zijazo za City... afu utanambia!
MKUU kumbe tupo wengiii sisi wengine timu ikifungwa hali inakuwa mbaya sana aisee
Sidhani kama ni zaidi yangu mkuu! Pengo la Hendo litaonekana daima...na hili ndo tatizo la kuwa na thin squad..!
Kwa kweli imetugharimu kwa kutokuwepo hendo tunasubr kama zawadi matokea mabaya kwa man city otherwise tunashukuru kwa kufuzu michuano ya Ucl.
Kwa kweli imetugharimu kwa kutokuwepo hendo tunasubr kama zawadi matokea mabaya kwa man city otherwise tunashukuru kwa kufuzu michuano ya Ucl.
Sasa Biashara na nyie imeisha Leo!
Karibu sn ktk Uchambuzi Wa soka sasa!
Mr. Wise pole sn Mkuu!
Naam Una nini cha kuniambia Leo ktk timu zote hizi 4 ambazo ziko top four?
Pole sn Mkuu! Lkn Mimi nilikua nawambia kila siku humu!
Na niliwambia SG itamuuma sn kwasababu hajawahi chukua EPl.
Anyway ndio mambo!
Liverpool wanaitaji Muda kidogo ndio wakae Vzr kwasababu Kule mbele bado wanafanya makosa sn kwasababu wanachezea sn nafasi bila kufunga!
Na upande Wa viungo bado kuna shida! Viungo bado hawajawa imara sn na kuweza kuimiri mikiki mizito!
Na upande Wa beki ndio hivyo kuko na makosa! Bado kunatakiwa kuongoza nguvu!
Ktk CL next season Liverpool anaweza asifike Mbali Kwani ata ktk hii EPL ni makosa ya Chelsea na City kupoteza game kadhaa ndio kumeipa nafasi Liverpool kuongoza ligi mpk sasaiv!
Asante Mkuu!!Hongera bwana, mbinu zako zimezaa matunda, Mou akipotezaga kama hivi huwa anasemaga "The Best Team Lost" ....Hongereni TU, ngoja sisi tujaribu kuendelea kusubiri mwsho wake ila tumeipoteza ile nafasi yetu ya kua na advantage, now imehamia kwa City tena.
mkuu mengi nimekubaliana na wewe kuhusu Mbele si kweli LFC inahitaji majembe tu ya kati ambayo Kama kina Yaya toure, Kama vile Matic na Mikel na Lampard walivyosimama kati zile Middle zenye Nguvu za kukaba ukiwa nazo hata mabeki wawe wabovu wataonekana wazuri, na Kama navyosema LFC hawakuwahi kufika April-May miaka mingi sehemu Kama hii na ukitegemea point hazijakimbia sana si kwamba alikuwa top kwa Point 9 angekuwa point 9 yangekuwa mengine haya ni mafunzo ila sehemu sikubaliani na wewe kuhusu LFC bila City au Chelsea wasingekuwa hapo? Hayo ni matatizo ya. City na Chelsea wenyewe kumbuka nao isingekuwa LFC kupoteza Point na Aston Villa na West Brown pia nao LFC wamewatengenezea Chelsea na City Kama Leo Chelsea kumtengenezea City ni Football au tukumbuke Arsenal walikuwa top muda mrefu na point nyingi je hao nao hawakuwatengenezea Chelsea? Kubalini LFC msimu huu imecheza vizuri kilichowaangusha mazoea ya Presha za muda Kama huu sasa nyie Wenye ujuzi wa wachezaji wengi waliopitia huu muda mbona mpo chini yetu au mpo juu yetu? Jibu upo juu yetu au chini? City ndio atakuwa bingwa Chelsea akiwa bingwa nitajitangaza mshabiki wa Chelsea na Picha nitawapa muianike au muanzishe Thred Pazi kahamia Chelsea na haitotokea ila Jibu upo juu yetu au chini.Pole sn Mkuu! Lkn Mimi nilikua nawambia kila siku humu!
Na niliwambia SG itamuuma sn kwasababu hajawahi chukua EPl.
Anyway ndio mambo!
Liverpool wanaitaji Muda kidogo ndio wakae Vzr kwasababu Kule mbele bado wanafanya makosa sn kwasababu wanachezea sn nafasi bila kufunga!
Na upande Wa viungo bado kuna shida! Viungo bado hawajawa imara sn na kuweza kuimiri mikiki mizito!
Na upande Wa beki ndio hivyo kuko na makosa! Bado kunatakiwa kuongoza nguvu!
Ktk CL next season Liverpool anaweza asifike Mbali Kwani ata ktk hii EPL ni makosa ya Chelsea na City kupoteza game kadhaa ndio kumeipa nafasi Liverpool kuongoza ligi mpk sasaiv!
mkuu mengi nimekubaliana na wewe kuhusu Mbele si kweli LFC inahitaji majembe tu ya kati ambayo Kama kina Yaya toure, Kama vile Matic na Mikel na Lampard walivyosimama kati zile Middle zenye Nguvu za kukaba ukiwa nazo hata mabeki wawe wabovu wataonekana wazuri, na Kama navyosema LFC hawakuwahi kufika April-May miaka mingi sehemu Kama hii na ukitegemea point hazijakimbia sana si kwamba alikuwa top kwa Point 9 angekuwa point 9 yangekuwa mengine haya ni mafunzo ila sehemu sikubaliani na wewe kuhusu LFC bila City au Chelsea wasingekuwa hapo? Hayo ni matatizo ya. City na Chelsea wenyewe kumbuka nao isingekuwa LFC kupoteza Point na Aston Villa na West Brown pia nao LFC wamewatengenezea Chelsea na City Kama Leo Chelsea kumtengenezea City ni Football au tukumbuke Arsenal walikuwa top muda mrefu na point nyingi je hao nao hawakuwatengenezea Chelsea? Kubalini LFC msimu huu imecheza vizuri kilichowaangusha mazoea ya Presha za muda Kama huu sasa nyie Wenye ujuzi wa wachezaji wengi waliopitia huu muda mbona mpo chini yetu au mpo juu yetu? Jibu upo juu yetu au chini? City ndio atakuwa bingwa Chelsea akiwa bingwa nitajitangaza mshabiki wa Chelsea na Picha nitawapa muianike au muanzishe Thred Pazi kahamia Chelsea na haitotokea ila Jibu upo juu yetu au chini.