Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tehtehtehtehtehtehtehtehtehteh!
Haya bhana naona mnatembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo.

Teh Teh Teh Teh Teh Teh Teh

Mkuu Piere. Fm Yani raha sn ukiwa shabiki Wa Chelsea!

Huna PRESHA, BP, KICHWA KUUMA.

Yani kila wakati ni raha tu!
 
Last edited by a moderator:
Hapahitajiki ujuzi wowote wala akili yoyote kukusanya watu 11 na kuwaweka ndani ya 18..aATTACH]

wewe si ndio ulikuwa unahangaika na player rating hivi kwa akili yako unaweza kuwarate wachezaji wa chelsea humjui mourinho
 
wewe si ndio ulikuwa unahangaika na player rating hivi kwa akili yako unaweza kuwarate wachezaji wa chelsea humjui mourinho

Msamehe bure huyo OSOKONOI Leo kaja na kejeri tena kwa Jose kiboko Yao!
 
Wachezaji wanajirate wenyewe...Hazard ni the Best Young BPL player na El pistolero is the Best BPL player. Ni mimi nimewapa that rate? Special mouth look worried and play 11,0,0...FISI MAJI!
wewe si ndio ulikuwa unahangaika na player rating hivi kwa akili yako unaweza kuwarate wachezaji wa chelsea humjui mourinho
 
Ntuzu, katika nilichokiandika kejeli ni ipi? Special mouth ni kiboko kwa kubadilisha football kuwa handball..
Msamehe bure huyo OSOKONOI Leo kaja na kejeri tena kwa Jose kiboko Yao!
 
Ntuzu, katika nilichokiandika kejeli ni ipi? Special mouth ni kiboko kwa kubadilisha football kuwa handball..

Bado uko na kejeli kwa Jose!

Sasa Ngoja tuweke kambi humu mpk mkimbie!
 
Bado uko na kejeli kwa Jose!

Sasa Ngoja tuweke kambi humu mpk mkimbie!

jose ndo mdudu gani bana! Wapo makocha mafundi kina simeone,guardiola,anceloti atakuwa huyo bw.ege jose? Mpira wa kizamani tu! Angekua kocha wa maana angeshindwa kuchukua ubingwa wa ucl pale madrid akiwa amezungukwa na world class players hadi kwenye reserve?is your way of playing modern football Ridiculous!?
 
Naona umeanza kujitutumua!

Jana ulikua na adabu! Wewe Si ndio unaimba wimbo Wa BR kila siku? Umeona BR pumba tupu Km Moyes unawaleta makocha wengine! Walete tu mbele ya baba yenu!
 
Naona umeanza kujitutumua!

Jana ulikua na adabu! Wewe Si ndio unaimba wimbo Wa BR kila siku? Umeona BR pumba tupu Km Moyes unawaleta makocha wengine! Walete tu mbele ya baba yenu!

nimekutajia makocha wanaolingana na morinyo(kwenye managerial carrier)! BR ni upcoming manager na huwez kumlinganisha na hao wengine,bado ana muda wa kujifunza mengi ktk ukocha,wewe ndo unamuona morinyo kama mungu wa chelsik,wakati anashinda ugly!
 
Khe Khe Khe Khe

Gwamahala aliniambia Brendan Rodgers ataleta CRANE ya nguvu kuyatoa hayo mabasi!

Khe Khe Khe Khe Khe

Mimi nikamwambia Labda crane ya kuinulia JOGOO AKISHACHINJWA NA KUNYONYOLEWA!

Khe Khe Khe Khe Khe!

Morinyo anacheza Ant-Football formation!

Pamoja na yote mtakuja kutupongeza hapa tar 11 May tukiwa tunabeba ndoo yetu!
 
Last edited by a moderator:
CFC inashinda 'ugly' ..LFC haishindi kitu.
nimekutajia makocha wanaolingana na morinyo(kwenye managerial carrier)! BR ni upcoming manager na huwez kumlinganisha na hao wengine,bado ana muda wa kujifunza mengi ktk ukocha,wewe ndo unamuona morinyo kama mungu wa chelsik,wakati anashinda ugly!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…