yes we believe..chelsea fc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehtehtehtehtehtehtehtehtehteh!
Haya bhana naona mnatembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo.
Hapahitajiki ujuzi wowote wala akili yoyote kukusanya watu 11 na kuwaweka ndani ya 18..aATTACH]
wewe si ndio ulikuwa unahangaika na player rating hivi kwa akili yako unaweza kuwarate wachezaji wa chelsea humjui mourinho
Time wasting from the first 10mns to the end, was bordering on the laughable all the time...CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154404
wewe si ndio ulikuwa unahangaika na player rating hivi kwa akili yako unaweza kuwarate wachezaji wa chelsea humjui mourinho
Msamehe bure huyo OSOKONOI Leo kaja na kejeri tena kwa Jose kiboko Yao!
Mmeanza kulialia!
Mnasahau ubao mpk Leo unasomekaje!
Ntuzu, katika nilichokiandika kejeli ni ipi? Special mouth ni kiboko kwa kubadilisha football kuwa handball..
Bado uko na kejeli kwa Jose!
Sasa Ngoja tuweke kambi humu mpk mkimbie!
Bado uko na kejeli kwa Jose!
Sasa Ngoja tuweke kambi humu mpk mkimbie!
jose ndo mdudu gani bana! Wapo makocha mafundi kina simeone,guardiola,anceloti atakuwa huyo bw.ege jose? Mpira wa kizamani tu! Angekua kocha wa maana angeshindwa kuchukua ubingwa wa ucl pale madrid akiwa amezungukwa na world class players hadi kwenye reserve?this is Ridiculous!?
Naona umeanza kujitutumua!
Jana ulikua na adabu! Wewe Si ndio unaimba wimbo Wa BR kila siku? Umeona BR pumba tupu Km Moyes unawaleta makocha wengine! Walete tu mbele ya baba yenu!
Khe Khe Khe Khe
Gwamahala aliniambia Brendan Rodgers ataleta CRANE ya nguvu kuyatoa hayo mabasi!
Khe Khe Khe Khe Khe
Mimi nikamwambia Labda crane ya kuinulia JOGOO AKISHACHINJWA NA KUNYONYOLEWA!
Khe Khe Khe Khe Khe!
Hapahitajiki ujuzi wowote wala akili yoyote kukusanya watu 11 na kuwaweka ndani ya 18..
CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154390
Morinyo anacheza Ant-Football formation!
Pamoja na yote mtakuja kutupongeza hapa tar 11 May tukiwa tunabeba ndoo yetu!
nimekutajia makocha wanaolingana na morinyo(kwenye managerial carrier)! BR ni upcoming manager na huwez kumlinganisha na hao wengine,bado ana muda wa kujifunza mengi ktk ukocha,wewe ndo unamuona morinyo kama mungu wa chelsik,wakati anashinda ugly!