Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Pazi anything can happen!!!Mbona City alishindwa kujisadia mwenyewe akasaidiwa na Chelsea ambae hata kwenya mbio za ubingwa walimtoa ama umesahau?so tungojeeni hizo game mbili mbili zichezwe, kimahesabu hata Chelsea anaweza kubeba ndoo
 
Goal! Everton 1-0 Manchester City (Barkley 10)
WHAT. A. GOAL. Out of nothing!
 
Endeleeni na maombi,mbona mmekimbia mapema
 
it's Over for LFC ila muhimu kutizama yetu sio ya Wenzetu bado game ni mbili simaanishi Kama LFC c anakuwa bingwa ila ukweli ni game ya LfC na Palace ndio inaukweli zaidi ya hapo wengi tuliona kilichotokea Sunderland na Manchester United na. Manchester City na QPR ule mwaka football habitability hata Chelsea nafasi wanayo ndomana nasema Jumatatu ndio ukweli utajulikana japo kunanafasi kubwa ya sasa hivi Sir Alex kurudi Manager wa. Manchester. United tena kuliko LFC Kuwa bingwa huu mwaka well done to Manchester City. Hata Mie Game na Chelsea ndio tuliuza kila kitu Game ya Leo Everton sikuihesabu Kabisa hasa kuona walivyokuwa wanacheza Ni wa3 tu Barkeley(LFc fan) Barnes na Lukaku waliobakia ilikuwa fur aha kwa Arsenal na bora Arsenal kawa wa 4 Leo nafikiri Manchester United tu ndio Kama angekutana na Man City angeshinda game sio Everton. Tumekubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…