Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusahau mkuu usitegemee LFC kushinda tena Mie nimeshakata tamaa zamani sie wenyewe tumeshindwa kujisaidia itakuwa wengine watu Sadie? Kwanza Palace kutakuwa kugumu kweli! Naona watu wanasema sana kuhusu LFC kuweka walinzi Ready kwa Parade ya ubingwa ila watu wanashindwa kuelewa Game ni chache zimebaki na siku ni chache zimebaki Parade sheria timu zote zinaweka maandalizi ikifika muda Kama ule mapema sababu ni zipi tukumbuke Final Barca Na United pia United waliweka Maandalizi ila Council almashauri ya Jiji la Manchester City bado siku moja Barca na United kucheza walivunja isifanyike Sherehe za ubingwa sababu baaazi ya ma police walikuwa ngono, bahati mbaya au nzuri United haikushinda kipindi kile na sio timu inayoandaa timu inakuwa inataka kufanya Hilo ikiiishinda ila Almashauri ya Jiji inatowa Kibali na kupelekana Zile sehemu za vituo za kutafuta wafanya kazi mapema ili majina ayo ya wafanyakazi yawe kwenye orodha ikija kutokea Fujo au Vifo wanajuwa nini wafanye sio tu Kama kwetu jambo la jioni unatafuta wafanyakazi asubuhi mwisho mgonjwa unampa atibiwe na mtengeneza magari, timu zote 3 zimejiandaa ndomana hata FA wanasubiri game ya mwisho wajue Kama timu zote 3 ubingwa utajulikana ni game ya mwisho nasikia Kombe moja litaazimwa Blackburn la Fake, Original litakuwa Manchester.

Pazi anything can happen!!!Mbona City alishindwa kujisadia mwenyewe akasaidiwa na Chelsea ambae hata kwenya mbio za ubingwa walimtoa ama umesahau?so tungojeeni hizo game mbili mbili zichezwe, kimahesabu hata Chelsea anaweza kubeba ndoo
 
Goal! Everton 1-0 Manchester City (Barkley 10)
WHAT. A. GOAL. Out of nothing!
 
it's Over for LFC ila muhimu kutizama yetu sio ya Wenzetu bado game ni mbili simaanishi Kama LFC c anakuwa bingwa ila ukweli ni game ya LfC na Palace ndio inaukweli zaidi ya hapo wengi tuliona kilichotokea Sunderland na Manchester United na. Manchester City na QPR ule mwaka football habitability hata Chelsea nafasi wanayo ndomana nasema Jumatatu ndio ukweli utajulikana japo kunanafasi kubwa ya sasa hivi Sir Alex kurudi Manager wa. Manchester. United tena kuliko LFC Kuwa bingwa huu mwaka well done to Manchester City. Hata Mie Game na Chelsea ndio tuliuza kila kitu Game ya Leo Everton sikuihesabu Kabisa hasa kuona walivyokuwa wanacheza Ni wa3 tu Barkeley(LFc fan) Barnes na Lukaku waliobakia ilikuwa fur aha kwa Arsenal na bora Arsenal kawa wa 4 Leo nafikiri Manchester United tu ndio Kama angekutana na Man City angeshinda game sio Everton. Tumekubali matokeo.
 
Back
Top Bottom