Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Me mambo ya Giggs hayanihusu coz siyo mshabiki wa Manure!!!!
 
Last edited by a moderator:

...sio wewe huyu unaemzungumzia giggs hapa halafu unasema hayakuhusu.....wewe subiria wengine wakusaidie huwezi kushinda kombe kwa uwezo wako maanake utaanza kuteleza uwanjani wenzio wanakufunga!
 
...sio wewe huyu unaemzungumzia giggs hapa halafu unasema hayakuhusu.....wewe subiria wengine wakusaidie huwezi kushinda kombe kwa uwezo wako maanake utaanza kuteleza uwanjani wenzio wanakufunga!

carrick leo alitereza mara ngapi????
 
Everton walivyofunga goli kuna watu walikuja ghafla then lilivyorudi wakapotea kabisa
 
Kama ulivyopotea wewe Juzi na agosti 8 eh ? Hehehe. Tena siku ya game yako ilicheza wenzako game Yao j3 ingekuwa siku ya game tungekuelewa.

Huyo agosti 8,naona kajiba ban ya muda mrefu huenda tukamuona next season
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana nawe but game ya Man City ilihairishwa kwa sababu ya barafu kujaa uwanjani.Huu ndio ulikuwa msimu wenu kuchukua ubingwa next season itakuwa ngumu sana
 
carrick leo alitereza mara ngapi????

ukitoka kwa carrick utaenda kwa nani?? fletcher....hii ni Liverpool thread lazima tuwape za uso. hamjazoea kuchukua ubingwa ndio maana mnasubiria msaada wa timu nyingine endeleeni kusubiri si mmeweza kusubiri miakazaidi ya 20.
 
lile lenu la giggs limechangamka?
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana nawe but game ya Man City ilihairishwa kwa sababu ya barafu kujaa uwanjani.Huu ndio ulikuwa msimu wenu kuchukua ubingwa next season itakuwa ngumu sana

kabla msimu huu haujaanza ulijua sisi tuna nafasi ya kuchukua ubingwa msimu huu? Mbona mnakuwa na propaganda kama maccm? We are still on rebuilding! Mimi binafsi hata hiyo top3 naiona imekuja kama zali tu! Watu wameinvest kuwin pl,acha washinde tu! Mtu umeunda kikosi kwa pound 500m unashindwa kuchukua ubingwa unakalia kupiga domo ri ujinga huo? #redordead #YNWA .
 
ukitoka kwa carrick utaenda kwa nani?? fletcher....hii ni Liverpool thread lazima tuwape za uso. hamjazoea kuchukua ubingwa ndio maana mnasubiria msaada wa timu nyingine endeleeni kusubiri si mmeweza kusubiri miakazaidi ya 20.

Kipindi kile Man city alvyochukua Kombe kwa tofauti ya magoal dhidi yako, we ulikuwa husubirii misaada ya team nyingne????
 
Kipindi kile Man city alvyochukua Kombe kwa tofauti ya magoal dhidi yako, we ulikuwa husubirii misaada ya team nyingne????

sikusubiria,nilishindwa mwenyewe kufunga magoli saba,City akachukua,last season nilitimiza wajibu 11pts clear. ukitimiza wajibu wako huna haja ya kusubiri timu nyingine. na nyinyi mlikuwa na uwezo wa kushinda bila kusubiri msaada wa wengine.
 
Katika mpira chochote kinaweza kikatokea kaka..ndo maana last season ulibeba EPL, leo Upo #7 ..

So Twists katka soccer ni kitu cha kawaida sana!
 
Katika mpira chochote kinaweza kikatokea kaka..ndo maana last season ulibeba EPL, leo Upo #7 ..

So Twists katka soccer ni kitu cha kawaida sana!

kila mtu analijua hilo....subirieni twists and turns.
 
Hamkuwa na nafasi,timu zilizotegemewa zilichemka so mkawa kwenye nafasi nzuri sana.Wapinzani Chelsea,City,United walokuwa na makocha wapya na walikuwa na michuano ya ulaya ambayo nyie hamkuwa nayo msimu ujao City na Chelsea watakuwa hatari sana so itakuwa ngumu sana kupata nafasi kama mliyoipata msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…