Liverpool huwa ina gundu sana na Tilte,
Tumefanya kila kitu ambacho ni kama utamaduni kwa EPL pale team inapoelekea kuchukua UBINGWA...kuwa top of the league at xmas, 11 wins mfululizo..Kuvuka magoli 90..lakin ishaonekana ubingwa kushindikana..
kinachouma zaidi, najua kwamba tutachukua tena seasons kufika this close kama msimu huu!!!
Ilikuwa ni chance kubwa sana!!!
though, I still Believe nafasi bado ipo...some of you najua mlikata tamaa kabisa kipindi kile when we went down kwa goal 0-3 against AC MILAN before HT katka UCL final kule instanbul, but we fought back and won the UCL..
So itabidi tuendelee kuisapoti our club no matter what..coz hata Man city nao kuna kipind walishakata tamaa na ubingwa..but wamerud baada ya sisi kuzingua..so you never know kitu gani kitatokea kwenye hizo game mbili zilizobaki..
Lakin pia, hili suala nimekuwa nikiliongelea kila siku, kuwa, haiwezekan team inakuwa na game 3 mwisho wa league, afu wenzako wamebakiza 2 tu..afu man city hawakuwa na game zozote za UCL..FA itabid walekebishe hii hali..
Kama tukifanikiwa kubeba Kombe, Itakuwa ni faraja sana, asa kwa watu kama kina Gerrard, Agger, Lucas,Skritel, They stayed so loyal to our great club..walikuwepo kutupigania wakat tupo vibaya na mpaka sasa wanatupigania..ningependa sana wapate hii zawadi..na Pia kwa mashabiki wote loyal wa Liverpool ambao walikuwepo na bado wapo na team mpaka sasa..wanadeserve hii zawadi...
INAUMA sana!!!..i feel so so sorry for our captain fantastic, najua atakua bado anaumia sana na ile bahati mbaya ya chelse, lakin hatuwez kumlaumu coz amekuwepo nasi mda wote..Mcmanaman left us, owen, Xabi Alonso, Mascherano, Torres, Riera, Meireles na wengineo, walitukimbia wakati tukiwahitaji the most..lakini our captain alibaki nasi wakat madrid, chelsea, Bayern walimtaka kwa nguvu, but he chose to stay loyal for the club and the funs..Inauma sana!!!