...sio wewe huyu unaemzungumzia giggs hapa halafu unasema hayakuhusu.....wewe subiria wengine wakusaidie huwezi kushinda kombe kwa uwezo wako maanake utaanza kuteleza uwanjani wenzio wanakufunga!
Nakubaliana nawe but game ya Man City ilihairishwa kwa sababu ya barafu kujaa uwanjani.Huu ndio ulikuwa msimu wenu kuchukua ubingwa next season itakuwa ngumu sana
Uyo City kasaidiwa na Chelsea, yeye binafsi kazi ilimshinda Anfield, Ebu punguzeni majungu kidogo
kila mtu analijua hilo....subirieni twists and turns.
mtegemea cha ndugu hufa masikini....sawa na nyie subiri msaidiwe na nani sijui mwingine maanake Everton wengi walimtegemea kashindwa,ila kuna GD ya 8 au 9 hivi mkifunga magoli mengi mengi mnaweza kuchukua na msimu huu si mshapiga watu goli nyingi nying kwa hio mnaweza.
Hamkuwa na nafasi,timu zilizotegemewa zilichemka so mkawa kwenye nafasi nzuri sana.Wapinzani Chelsea,City,United walokuwa na makocha wapya na walikuwa na michuano ya ulaya ambayo nyie hamkuwa nayo msimu ujao City na Chelsea watakuwa hatari sana so itakuwa ngumu sana kupata nafasi kama mliyoipata msimu huu
mbona unakuwa kama mngese? Tuchangie uzi kivipi? Kwani tulikuwa tunacheza na nani jana?
Hahaaa huyu wa wapi mbona ana mitusi jukwaani? mxxxxxxiiiiii mwenyewe bhana....kama mistake mmefanya wenyewe, yaani nyie kunogesha uzi sharti muwe mnacheza? 1 day before a game bado tu mpo kimya hamna k=mikakati yoyote, na ndio maana Ubingwa umeeota mbawa....Kwann b4 game ya Chelsea masaa 24 mlikuwa active?
Be respect bro
Hahaaa huyu wa wapi mbona ana mitusi jukwaani? mxxxxxxiiiiii mwenyewe bhana....kama mistake mmefanya wenyewe, yaani nyie kunogesha uzi sharti muwe mnacheza? 1 day before a game bado tu mpo kimya hamna k=mikakati yoyote, na ndio maana Ubingwa umeeota mbawa....Kwann b4 game ya Chelsea masaa 24 mlikuwa active?
Be respect bro
Hamkuwa na nafasi,timu zilizotegemewa zilichemka so mkawa kwenye nafasi nzuri sana.Wapinzani Chelsea,City,United walokuwa na makocha wapya na walikuwa na michuano ya ulaya ambayo nyie hamkuwa nayo msimu ujao City na Chelsea watakuwa hatari sana so itakuwa ngumu sana kupata nafasi kama mliyoipata msimu huu
noted! Samahani kwa disappointment,emotions zipo tu kwa binadamu,anyway,tupange mkakati wa kushnda game ya kesho huko uingereza hapa kwenye keyboard tena bongoutasaidia nini?
CHELSHIT.
Willian- Around £32mill
Andre Schurrie- Around £18mill
Nemanja Matic- Around £21
Mohamed Salah- Around £11
Van Ginkel- Around £8.5
Etoo- Around £4
Na mwisho wa siku msimu umeisha mkavu..
Asa specialist in failure ni nani hapo??
Van Ginkel- Around £8.5
Sizinga naona unataka tuwe tunatangaza au imekuwa lazima sign in una Alarm Sizinga nipoooo au Fulani nipo Liverpoolfc thred ndio unataka hivyo? Kuna mengi ya kujadili game yako mtu ikiwa haichezi mengi yapo ya kujadili jamiiforum Kumbi za dini,siasa na mengineo wewe unataka kila saa watu basi tuwe hapa? Ambao wanacheza Leo ukienda Kumbi Yao utamuona watu wawili tu, mambo ya kawaida kuhusu Mbu akiambiwa kufuta hii Thred haipunguzi kitu haiongezi kitu zipo sehemu za kujadili Liverpoolfc muda mwengine watu Wana kazi zao sio kila saa Kama watoto ila still na muwekea heshima Mbu sababu najua Ana hekima zipi kutokuwepo Humu mtu haimaanishi sio Loyal wapo wengi Thred zao wamepotea sio sababu haipendi timu yake. Kuwepo Mie Inatosha Kama Kuwepo Ntuzu peke yake Kule au Nzi na belo peke Yao Kule vitu vya kawaida subiri game na timu ya game ikifika subiri mpira ukiisha watu muda mwengine wanatizama mpira.