Sizinga naona unataka tuwe tunatangaza au imekuwa lazima sign in una Alarm Sizinga nipoooo au Fulani nipo Liverpoolfc thred ndio unataka hivyo? Kuna mengi ya kujadili game yako mtu ikiwa haichezi mengi yapo ya kujadili jamiiforum Kumbi za dini,siasa na mengineo wewe unataka kila saa watu basi tuwe hapa? Ambao wanacheza Leo ukienda Kumbi Yao utamuona watu wawili tu, mambo ya kawaida kuhusu Mbu akiambiwa kufuta hii Thred haipunguzi kitu haiongezi kitu zipo sehemu za kujadili Liverpoolfc muda mwengine watu Wana kazi zao sio kila saa Kama watoto ila still na muwekea heshima Mbu sababu najua Ana hekima zipi kutokuwepo Humu mtu haimaanishi sio Loyal wapo wengi Thred zao wamepotea sio sababu haipendi timu yake. Kuwepo Mie Inatosha Kama Kuwepo Ntuzu peke yake Kule au Nzi na belo peke Yao Kule vitu vya kawaida subiri game na timu ya game ikifika subiri mpira ukiisha watu muda mwengine wanatizama mpira.