Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hiii game ilibidi tushinde kama goli sita hivi maana point hazina nafasi tena.
ubingwa waweza nyakuliwa kwa point
 
HT ubao unasoma 0-1 (CRY-LIV). Kipindi chetu cha majanga kinakuja, sijui kwa nini vijana wetu huwa wanatepeta hivyo kipindi cha pili? Pulis hakawii kusomesha ubao 1-1!!
 
Mtambo wetu wa gongo unalilia penalty hapa! Tumewakosakosa!
 
Dan anagongesha post hapa, she.nzy kabisa hawa vijana!
 
Back
Top Bottom