Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Suarez anaweka la kwake. 0 - 3
Leo Liver kwenye jukwaa tuko watatu tu? Wadau siwaoni kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suarez anaweka la kwake. 0 - 3
Leo Mungu anaishabikia Liverpool.
Tumshukuru Mungu
Asprin umekuja? GD sasa hivi tunadaiwa magoli matano!
dk ya ngp wakuu?
matumaini yaliyofifia yanarudi kidgkidg, bado goli 6
Huu uchezaji wa Sakho huwa unanitia mashaka sana sijui kwa nini?
Haka katimu kagumu. tukitiamo vitano si mbaya sana. Newçaste ndo tumnyunyizie majanga.
dk ya ngp wakuu?
Alenabosatu bho ngiha!
Hahahahaha mkuu mm nishagiv up kitambo hatutabeba ndoo. mm ni chelsea mkuu. natamani kufuatilia hii gemu make EPL imekuwa ngumu km 2012