Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee badala ya Arsenal kubeba kombe nilikuwa nataka Liverpool mlibebe lakini kwa mpira wa mechi hii nakubali hamstahili kulibeba mtapotezaje ushindi baada ya kwenda 3-0. C Palace haikuwa timu ya kuwatoa kamasi hivi. Mnawapa Man utd na Chelsea na baadhi ya wapenzi wa Arsenal (except mimi) midomo. Yaani mmepoteza ubingwa zikiwa zimebaki mechi kama 4 kama sio 3? Unbelievable. Pazi pole sana mshikaji
 
aiseeee hawa madogo wasaha haribu mahesabu yoote hapa?? lishakuwa tatizo hili harafu unaweza ukaona na man city nae anagongwa gam 1
 
Aisee badala ya Arsenal kubeba kombe nilikuwa nataka Liverpool mlibebe lakini kwa mpira wa mechi hii nakubali hamstahili kulibeba mtapotezaje ushindi baada ya kwenda 3-0. C Palace haikuwa timu ya kuwatoa kamasi hivi. Mnawapa Man utd na Chelsea na baadhi ya wapenzi wa Arsenal (except mimi) midomo. Yaani mmepoteza ubingwa zikiwa zimebaki mechi kama 4 kama sio 3? Unbelievable. Pazi pole sana mshikaji

Pazi pole mkulu!

Sahau kuhusu ubingwa!
 
Last edited by a moderator:
masikhara haya

Nakwambia mimi ni mshabiki wa mpira tangu miaka ya 70's Liver ni team yangu dam damu ila kwenye mpira lolote laweza tokea.
Niko na experience nayo sana huu ni mchezo, burudani usije ukapata hasira bure au furaha za kukufanya ufe(dead)
 
timu tuliitegemea ichukue kombe inaongoza 3-0 halafu zinarudi zote NDANI YA DAKIKA 9. Poor Loserfools...
 
This is real Premiere League...Gerrald Hoi....Suarez anatoa kamasi tu
 
Suarez analia machozi hapa, kuchukua premier sio rahisi jamani.
 
Dah mechi hii inanifanya niwe na wasiwasi wa Arsenal kubeba FA cup tarehe 17.
 
Hii ndiyo league sasa, nguuumu
Watu wanalia, wanafight, hawaamini. Hii ni kweli KWELI??
 
kama unaongoza 3-0 halafu zote zinarudi kombe utalisubiri kwa zaidi ya miaka 24 kwa kweli....
 
Back
Top Bottom