Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anabebwaje Liver?? Hebu fafanua. Au Liver imekuwa Man?? Kama ilokuwa inabebwa mbona leo hajashinda???
.....dahhh, taratibuni basi, mpaka wenzenu waikimbie thread yao?...
View attachment 156072
#MosKwito !
Njia nyeupeeeeee kwa CITY na CHELSICK
Tamaa ya kutaka kufunga mengi imewatokea puani.
sturidge ajifunze kuwacha uchoyo game over painful, ila pia sio mbaya ni mafunzo manager of the season sasa hivi apewe Tony Pulis well done bila yeye palace isingekuwa pale ni muda wakujifunza kuweka Bus.
Katika siku imeuma Leo imeuma
ili mpira wa miguu uwe fair,acheni timu bora washinde ligi! Ngoja man city wachukue ubingwa,wanastahili! Hatustahili kuwa mabingwa ndugu zangu! Ngoja wanaostahili washinde!
Sio tuu useme wanatoa goli tatu pia zimetolewa ndani ya dakika 9
Dk 79
Dk 81 na
Dk 88
Swadakta. Man City chini ya engineer Pellegrini they truly deserve it.Ndo ujinga huo. manshit ubingwa mweupeee.
Hii mechi nilijua itakuwa ngu sana kwa Liverpool hao CP wako vizuri sana
Timu yenu kwa kwa kiwango cha juu cha wachezaji wake hawakuhitaji kupaki bus. Wangecheza tu kupasiana na kurelax kidogo wangeweza kufunga hata 7. Sijui daktari wa wenu wa saikolojia mnayemsifia leo alilewa mnazi kabla ya mechi?sturidge ajifunze kuwacha uchoyo game over painful, ila pia sio mbaya ni mafunzo manager of the season sasa hivi apewe Tony Pulis well done bila yeye palace isingekuwa pale ni muda wakujifunza kuweka Bus.
Basi tena. Mwaka wa tabu huu.