Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sturidge ajifunze kuwacha uchoyo game over painful, ila pia sio mbaya ni mafunzo manager of the season sasa hivi apewe Tony Pulis well done bila yeye palace isingekuwa pale ni muda wakujifunza kuweka Bus.
 
ili mpira wa miguu uwe fair,acheni timu bora washinde ligi! Ngoja man city wachukue ubingwa,wanastahili! Hatustahili kuwa mabingwa ndugu zangu! Ngoja wanaostahili washinde!
 
yangu macho...........CP nao wasumbufu!
MosDef unakumbuka hii kauli yangu??? nilisema CP wasumbufu sana nafikiri sasa hivi umenielewa......ndio maana mmesubiri 24yrs kushinda ligi ni ngumu kuliko CUPS[fa,capital one,arguably CL]
 
sturidge ajifunze kuwacha uchoyo game over painful, ila pia sio mbaya ni mafunzo manager of the season sasa hivi apewe Tony Pulis well done bila yeye palace isingekuwa pale ni muda wakujifunza kuweka Bus.

Triple S.

Silaha ya maangamizi SSS

FORWARD KALI EPL SSS

LEO NASHANGAA MNAMLAUMU DANIEL STURIDGE!
 
ili mpira wa miguu uwe fair,acheni timu bora washinde ligi! Ngoja man city wachukue ubingwa,wanastahili! Hatustahili kuwa mabingwa ndugu zangu! Ngoja wanaostahili washinde!

Una point hapa mkuu. Manshit wanadeserve. sio chelshit....
 
Hii mechi nilijua itakuwa ngu sana kwa Liverpool hao CP wako vizuri sana
 
mr wise unajua mimi niko fair ngoja niwaburudishe.

best player
Palace-Liverpool-gallery-001.jpg

best coach
Palace-Liverpool-gallery-002.jpg

kayla the 'THE EAGLE'
Palace-Liverpool-gallery-007.jpg

1-0
Palace-Liverpool-gallery-009.jpg
 
Last edited by a moderator:
sturidge ajifunze kuwacha uchoyo game over painful, ila pia sio mbaya ni mafunzo manager of the season sasa hivi apewe Tony Pulis well done bila yeye palace isingekuwa pale ni muda wakujifunza kuweka Bus.
Timu yenu kwa kwa kiwango cha juu cha wachezaji wake hawakuhitaji kupaki bus. Wangecheza tu kupasiana na kurelax kidogo wangeweza kufunga hata 7. Sijui daktari wa wenu wa saikolojia mnayemsifia leo alilewa mnazi kabla ya mechi?
 
KOSA kubwa alofanya BR Siku ya Chelsea ni kutaka kuwafunga badala ya YEYE kutafuta droo matokeo Yake ndio KM vile tena!

Na Leo anapanga mbinu mbovu atajikuta analia!

Khe Khe Khe Khe

BR ndio alieuweka ubingwa rehani!

RRONDO Na MosDef mnaikumbuka hii kauli?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom