Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.

Pole sn Mkuu! Mbona hua sikuoni huko kwenye DINI?
 
Tuongojeee tu

we will win nothing! Just nothing! Stop dreaming brother,our team was not serious today! Sometimes najuta kuipenda timu kama hii! Wallah kama angekuwa mwanamke ningemuacha leo hii hii! I've never been disappointed kiasi hiki! Namuhurumia suarez,hastahli kucheza na beki vilaza kiwango hiki! Ningekuwa mshauri wake,i would have advised him to quit lfc at the the end of the season,aende timu yenye quality yake!
 
Tangu Partership ya Skritel na Sakho ianze, haijawahi kutoka na Clean sheet hata siku moja, Yet bado kama kocha Huchukui hatua zozote zile, unamweka Agger bench sababu ya Sakho??

What the f.ck??

Dunia ipi ya mpira ushaona managers wanatumia centre backs wote wanaotumia nguvu tu bila akili???...Skritel na Sakho ni mizigo kwenye team, Patnership yao haijaleta clean sheet yoyote ile, still una world class defender Agger, Exprienced na PL, afu katika game yenye pressure kama hii unamweka bench!!!..unatemea mtu kama Sakho akusaidie??

Najua atakumbilia kujitetea kuwa kikosi ni kidogo, lakini huo ni uongo, upo ugenini, tayar unaongoza 3-0, lazima uchukue hatua kama coach kuyalinda hayo magoal coz unayahitaji kuliko kitu chochote kile!!!

Utakuwa upuuzi tu kumsifia BR, kwa blanda alizozifanya leo!!!

Hap ndo ninapomkumbukaga Gerlad Houlier na Rafa Benitez!!!

Imeniuma sana leo!!!

Unamweka Bench Agger kwenye game kama hii, inamaana alishindwa kuona kuna kuwa, Norwich city tulishinda 3-2, Chelsea tukafungwa 2-0, na leo bado unaendelea na Partnership ya kipumbavu hiyo hiyo???

Nimemshusha vyeo vyote BR kwa hii siku ya leo!!!

Coz ujinga anaofanya hajui unaumiza watu kiasi gani!!!

Na kwa mtindo huu sidhani kama CL tutafanya chochote kama tu board wasipoajori Kocha wa defense!!!

Out defense is trash, na it sucks kuona kocha na bench lake la ufundi wameshindwa kabisa kurekebisha hicho kitu..na when you have a centre-back like Agger what more do you need???
 
Leo Sankho kawa mbaya? Skritel kawa mbaya Na wakati anaongoza kwa Magoli kuliko Ba Na strikers ZA Chelsea?

Leo BR kawa kocho hovyo wakati tumesikia nyimbo zenu kibao na mapambio kibao mkisema Huyu ni kocha bora?

Leo imekuaje? Mnatengua kauli?

Khe Khe Khe Khe

Hakuna CHA sankho Wa triple s Wala CHA BR!

Mtasubiri sn! 24 mingine tena!

Jose Mourinho Sio Mjinga kwa kujenga timu kwa beki na viungo kz!
 
Mlivyokua mmejiandaa yani mpaka rahaa japo mtaani tungekoma
ImageUploadedByJamiiForums1399327489.514485.jpg

Ila Huyu labda mumzuie asitoke nalo getini lasivyo ndo limeshaenda hilo
ImageUploadedByJamiiForums1399327458.005588.jpg
 
Inasikitisha sana Kombe lilikuwa lenu mechi tatu zilizopita afu mme-blew it. Baada ya kumfunga Norwich kama sikosei mlikuwa mnaongoza kwa point 5 afu mmepoteza point 5 zote katika mechi 2. Noma sana. Anyway, msimu ujao itabidi mjiulize sana, lakini naamini kwenu itakuwa vigumu kurudi juu kama msimu huu. Hata kama Real Madrid hawatamfuata Suarez lazima ataondoka.Naamini Chelsea, Arsenal, Man Utd, Juventus, PSG, Barca wote watamsarandia kuanzia kesho.
 
we will win nothing! Just nothing! Stop dreaming brother,our team was not serious today! Sometimes najuta kuipenda timu kama hii! Wallah kama angekuwa mwanamke ningemuacha leo hii hii! I've never been disappointed kiasi hiki! Namuhurumia suarez,hastahli kucheza na beki vilaza kiwango hiki! Ningekuwa mshauri wake,i would have advised him to quit lfc at the the end of the season,aende timu yenye quality yake!

Kuna fomu ZA usahili Wa mashabiki Wa chelsea ukitaka muone agosti 8 na Mentor watakupa.

Khe Khe Khe NAJUTA KUIPENDA LFC!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
....
What the f.ck??

Dunia ipi ya mpira ushaona managers wanatumia centre backs wote wanaotumia nguvu tu bila akili???...

.........what more do you need???

Nini tena? Fool- Lovers wamepata ajali? Au Liverpool imegoma kuwa mabingwa? Migomo bana?

Juzi Ntuzu alikabidhiwa ubingwa wa uvuvzela baada ya mechi yao ya NorWitch. Alishasema ubigwa ni wao tu. Sasa ninyi "What the f.ck" mnataka ubingwa upi?
 
BR amefanya kaz kubwa sana,kuhusu mabek skrtel na agger bado ni partnership mbovu kwahiyo wanahitajika mabeki wengine ili kuimarisha safu ya ulinzi
 
Inasikitisha sana Kombe lilikuwa lenu mechi tatu zilizopita afu mme-blew it. Baada ya kumfunga Norwich kama sikosei mlikuwa mnaongoza kwa point 5 afu mmepoteza point 5 zote katika mechi 2. Noma sana. Anyway, msimu ujao itabidi mjiulize sana, lakini naamini kwenu itakuwa vigumu kurudi juu kama msimu huu. Hata kama Real Madrid hawatamfuata Suarez lazima ataondoka.Naamini Chelsea, Arsenal, Man Utd, Juventus, PSG, Barca wote watamsarandia kuanzia kesho.
hata wewe ? Haya mkuu.
 
Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.

hakuna shabiki wa liverpool ambaye haipendi Liverpool..

Kama Kocha kachemsha lazima tuseme ukweli, kuwa kwenye hii gane ya leo BR ndo ametuua, Aliconstrate sana na kufunga, which ni kitu kizuri. lakini je kama umeshafunga magoal matatu, unafanya kitu gani kuyazuia, kwasababu wachezaji ndani wanacheza kulingana maelekezo ya kocha wao!!!

Goal 3 zinarudi ndani ya dk 9, afu unaniambia kocha hawez kulaumiwa kwa hilo???

we na mimi ni mashabiki wa Liverpool, Tunajua kwamba Partnership ya Skritel na Sakho haaijaleta clean sheet yoyote so far!!, kwa sababu tu haiwezi kudeal na presha ya mashambulizi, kwani wote wanatumia nguvu na Sakho hana exprience ya EPL, hasa kwenye game zenye presha kama hizi!!!

Centre-Backs, siku zote lazima kuwe na mmoja anaetumiwa nguvu kuzuia na mwingine anayetumia Akili kuzuia, ili kubalance ile pressure ya mashambulizi ndo maana man city kuna Kompany (nguvu), Demichelis, natastic (akili), na nadra sana kuona partnership ya Kompany na lescot pale City coz wote wanatumia nguvu, Arsenal kuna Koshienly (nguvu) na Per metasackar (akili)..ndo maana sahiv huoni partenership ya Konshienly na Vermalen, kwasababu beki anayecheza kwa akili na utulivu anaweza kutuliza mipira na kupoza pressure za mashambulizi..

Ukiongelea kuhusu central mids kupwaya nitakupinga..coz nakumbuka when Gerrard was injured, Partnership ya Lucas na Allen, Katikati, na patnership ya Agger na Skirtel, zilitoa Cleen sheet mbili, Katika game nne, na iliruhusu goal 2 tu..

Sometimes manager anatakiwa kuswitch kulingana na aina ya mchezo, kwa mfano leo, sikuona umuhimu wa Gerrard kuendelea kucheza katika Defensive role ile..
 
BR amefanya kaz kubwa sana,kuhusu mabek skrtel na agger bado ni partnership mbovu kwahiyo wanahitajika mabeki wengine ili kuimarisha safu ya ulinzi

nani kakwambia lfc inatatizo la beki? Hakuna tatizo la beki lfc,kuna tatizo la DM. Hakuna DM wa kueleweka pale,watu wanaowalaumu mabeki wanakosea sana! Hawana cover,hakuna mtu wa ku block movements pale katikati! SG sio defensive minded! Na utashangaa BR anasajili winger,full back,anaacha DM.tunahtaji pale kati mtu wa calibre ya yaya toure,fernandinho,hv
 
we will win nothing! Just nothing! Stop dreaming brother,our team was not serious today! Sometimes najuta kuipenda timu kama hii! Wallah kama angekuwa mwanamke ningemuacha leo hii hii! I've never been disappointed kiasi hiki! Namuhurumia suarez,hastahli kucheza na beki vilaza kiwango hiki! Ningekuwa mshauri wake,i would have advised him to quit lfc at the the end of the season,aende timu yenye quality yake!

Sijui kwanini watu wanashindwa kuona ubovu wa beki ya Liverpool!!

kwa game ya leo huwezi kulaumu viungo wa kati hata kidogo..

And Glen Johnson has to Go!!
 
nani kakwambia lfc inatatizo la beki? Hakuna tatizo la beki lfc,kuna tatizo la DM. Hakuna DM wa kueleweka pale,watu wanaowalaumu mabeki wanakosea sana! Hawana cover,hakuna mtu wa ku block movements pale katikati! SG sio defensive minded! Na utashangaa BR anasajili winger,full back,anaacha DM.tunahtaji pale kati mtu wa calibre ya yaya toure,fernandinho,hv

kwa game ya leo, unalaumu centre mids??

Ukisema tatizo ni DM, man city wana Fernandnho na Kina Jav Garcia..lakina how many clean Sheet wanazo msimu huu???

Beki aina ya sakho na GJ, utawalaumu Central Mids???
 
back four ya Liverpool yote ni mbovu..na rodgers ameshindwa kuliciver hilo suala..

Chini ya Daglish, tulifungwa magoal machache saana!!!..coz he knew jinsi ya kuifanya defense yake icheze!!!

BR ni attack minded coach, Ndo maana hata january alitaka kusign winga badala ya Defensive minded players!!!
 
kwa game ya leo, unalaumu centre mids??

Ukisema tatizo ni DM, man city wana Fernandnho na Kina Jav Garcia..lakina how many clean Sheet wanazo msimu huu???

Beki aina ya sakho na GJ, utawalaumu Central Mids???

nitawalaumu daima DM,hakuna kitu pale! Na sikuona 7bu ya SG kucheza DM wkt tunaongoza 3,SG sio natural DM,tatizo letu ni hapo2,hebu angalia,tunacheza 4-1-3-2? Unamtegemea gerald asimame peke yake kati? Uliangalia game yett na swansea? Makosa yaleyale ndo kama haya ya leo.
 
Sijui kwanini watu wanashindwa kuona ubovu wa beki ya Liverpool!!

kwa game ya leo huwezi kulaumu viungo wa kati hata kidogo..

And Glen Johnson has to Go!!

GJ,sio mbaya hivyo,sema hatakiwi kuwa kwenye 1st eleven ya lfc! Yule mchezaji ni wa kukaa benchi kbs,agger akiondoka itaniuma sana!
 
Back
Top Bottom