Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.
hakuna shabiki wa liverpool ambaye haipendi Liverpool..
Kama Kocha kachemsha lazima tuseme ukweli, kuwa kwenye hii gane ya leo BR ndo ametuua, Aliconstrate sana na kufunga, which ni kitu kizuri. lakini je kama umeshafunga magoal matatu, unafanya kitu gani kuyazuia, kwasababu wachezaji ndani wanacheza kulingana maelekezo ya kocha wao!!!
Goal 3 zinarudi ndani ya dk 9, afu unaniambia kocha hawez kulaumiwa kwa hilo???
we na mimi ni mashabiki wa Liverpool, Tunajua kwamba Partnership ya Skritel na Sakho haaijaleta clean sheet yoyote so far!!, kwa sababu tu haiwezi kudeal na presha ya mashambulizi, kwani wote wanatumia nguvu na Sakho hana exprience ya EPL, hasa kwenye game zenye presha kama hizi!!!
Centre-Backs, siku zote lazima kuwe na mmoja anaetumiwa nguvu kuzuia na mwingine anayetumia Akili kuzuia, ili kubalance ile pressure ya mashambulizi ndo maana man city kuna Kompany (nguvu), Demichelis, natastic (akili), na nadra sana kuona partnership ya Kompany na lescot pale City coz wote wanatumia nguvu, Arsenal kuna Koshienly (nguvu) na Per metasackar (akili)..ndo maana sahiv huoni partenership ya Konshienly na Vermalen, kwasababu beki anayecheza kwa akili na utulivu anaweza kutuliza mipira na kupoza pressure za mashambulizi..
Ukiongelea kuhusu central mids kupwaya nitakupinga..coz nakumbuka when Gerrard was injured, Partnership ya Lucas na Allen, Katikati, na patnership ya Agger na Skirtel, zilitoa Cleen sheet mbili, Katika game nne, na iliruhusu goal 2 tu..
Sometimes manager anatakiwa kuswitch kulingana na aina ya mchezo, kwa mfano leo, sikuona umuhimu wa Gerrard kuendelea kucheza katika Defensive role ile..