Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wanakaza kinoma....aiseeeee
Dah mechi hii inanifanya niwe na wasiwasi wa Arsenal kubeba FA cup tarehe 17.
matumaini yaliyofifia yanarudi kidgkidg, bado goli 6
Mpira wa 70s sio wa leo jomba.Nakwambia mimi ni mshabiki wa mpira tangu miaka ya 70's Liver ni team yangu dam damu ila kwenye mpira lolote laweza tokea.
Niko na experience nayo sana huu ni mchezo, burudani usije ukapata hasira bure au furaha za kukufanya ufe(dead)
Khe Khe Khe Khe!
Wamezoea kubebwa Hawa loserfool!
Refa kaona nataka kuandamana KM atatoa penalty kaona akaushe!
Teh Teh Teh Teh
aiseeee hawa madogo wasaha haribu mahesabu yoote hapa?? lishakuwa tatizo hili harafu unaweza ukaona na man city nae anagongwa gam 1
kama unaongoza 3-0 halafu zote zinarudi kombe utalisubiri kwa zaidi ya miaka 24 kwa kweli....
Khe Khe Khe Khe!
Wamezoea kubebwa Hawa loserfool!
Refa kaona nataka kuandamana KM atatoa penalty kaona akaushe!
Teh Teh Teh Teh
goli 6 zimepatikana lao ila zimeingia huku na kule teh teh teh teh teh teh
Mkuu BR haamini kinachoendelea hapa....TOURE anamfariji Suarez...hii kali mkuu
Ah ila swali Isha Mie muhimu kuliko mpira.Rafiki Pazi uko wapi?
kwa dizaini hii hakika napata sana mashaka na kushiriki kwetu msim ujao kwenye UEFA maana huu ni zaidi ya upumbafuuuu
watu mnaongoza gori tatu wanachomoa zote huu niuzembe mkubwa sana aisee BR tunahitaji marekebisho haraka sana

Sawa ustaadh Pazi..😛ound:sufuria la biriani lishaingia mjusi..Ah ila swali Isha Mie muhimu kuliko mpira.