Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


unajua suarez katengenezwa kuwa mfungaji na mfumo wa BR,kwahiyo hata akiondoka,anaweza kuja striker mwingine,akafit kwenye mfumo,akafunga goli nyingi tu! Kukuhakikishia hilo,muangalie suarez wa enzi za KD.alikuwa mcheyaji wa kawaida sana,kama akiondoka,nitabariki kiroho safi,nani alijua tutapata replacement ya torres?
 

But trust me mkuu..kupata replacement ya mchezaji calibre ya Suarez it will take time...it might cost 7 rain seasons.
 
FOOTBALL FACTS.

1. katika Matches zote alizoanza Sakho tangu asajiliwe January, Liverpool haijawahi toka na Clean Sheet!

2. in 2009, Benitez alianza kumtumia zaid Ngog kuliko Keane, mwisho wa siku, Hatukuambulia kitu, In 2014, BR alianza kumtumia Sakho zaidi kuliko Agger, Mwisho wa siku imekuwa HOLA!

3. Sakho siyo aina ya mchezaj wa LFC, hana Pace, Hatumii Akili, anapagawa mashambulizi yakizidi yaani hawez kudeal na pressure ya mashambulizi, Anatetemeka tetemeka hovyo!!!..nakumbuka hata Callagher alishawah kusema kwny uchambuzi wa Skysports kuwa Sakho anafanya mashabiki wa Liverpool wawe na wasiwasi mda wote akiwa na mpira!!
 
Asanteni kwa kuwakilisha captein wa ukweli alitaka kustaaf baada ya ndoo itakuje ss
 

kwa jana dogo hana kosa,magoli yote yalipitia kwa GJ,sakho ni beki mzuri tu,mpe muda. Kumbuka ndo beki tegemeo wa national team yake,mfuatilie kule brazil..sema akiwa national team anacheza na DMs wa ukweli.
 

Kuhusu Sakho nakubaliana na wewe mkuu ila ndio football tuache malalamiko lishatokea tumuachie Manager anajua niNi atafanya yashapita City bingwa basi ww furahi ulipomalizia hakuna aliyetegemea tutakuwepo hapa tulipokuwepo sasa sioni why malalamiko meeeengi hatukuwepo CL miaka miwili mkuu kabla ligi watu nafasi yetu walisema ni 6 walimpa Totenham na Everton kuonyesha sisi ni Weak sasa leo tupo Top 4 huoni kama anavyosema Henry kidogokidogo zile zilizokuwepo Top 4 ndio zinatakiwa kuendeleza moto ipo zipo zilizoanguka mwaka huu hasa Totenham kwa Investment sio kilichowaumiza watu nikufikia karibu sana na kutochukuwa ila tizama wapi LFC ilipotoka Mwakani ndipo ihukumu je ingekuwa wa 5 au 6 si watu wangesema ah ndio kawaida yake LFC kuwa hapo na ww kama Mshabiki ndio ungezidi kuwa na hasira ww unafikiri why Man United anahasira? Sababu katoka wa kwanza mwaka jana gafla wa 7 lazima mashabiki wanune wakati mwaka jana wao mabingwa hawakuwa na haja kununa ila kuwa wa 7 imefanya wanune wangekuwa Top 4 wasingelalamika ss ww umetoka kwenye 6th mpaka Top4 shukuru kama anavyosema Wenger.
 
Mashabiki wa Liverpool wengi sana wa hapa BONGO hawataki kukubalian na ukweli kwamba BR ndiye aliyeogharimu Liverpool Ubingwa kwa hizi game mbili, Ya chelsea na CP.

Ntaongelea zaidi game ya Jana..kwanza suala la kwamba BR syo mzoefu, nalikataa, kwani kocha unatakiwa ujifunze kulingana na Makosa ya Game zilizopita, Mfano game za Swansea, aston villa, stoke city na nyingnezo, Kwenye hizi game zote tuliponea chupu chupu kuzipoteza kwasababu ya Aina hii ya mpira aliocheza Na CP, Huwezi kuwalaumu wachezaji kwani BR aliwaelekeza kuattack tu game ya jana, yaan no matter what, team iendelee kuattack tu, Kwa makocha vijana kama Klopp, martnez na simeone, Kipind CP walivyorudisha goal 1, Na ikawa 3-1, lazima wangemto attacking minded player na kumwingiza Defensive minded player..BR hakufanya hicho kitu, Ilivyo kuwa 3-2, akamtoa Sturridge na kumwingza Moses!!!, What a shitty Sub that was??!!!, Hata Kibadeni wa Bongo huku asingefanya Sub ya kijinga kama ile, Wakat una Agger yupo fit na yupo bench..Kwenye Game ya Norwich game ilivyo 3-2 mbona alimwingza Agger, na akafanikiwa kuyatuliza mashambulizi ya norwich, Jana imekuwaje Unamwingza uwanjani mtu kama Moses!!!!..Umetoa Strikers waliokuwa wanaleta pressure kwa CP, Asa kama unataka kubalance kwann usimuingize defensive minded player aje kukaba???..unaingiza mzigo kama Moses!!!!Agger si alikuwepo Bench???..

BR amefanya kazi nzuri, kairudisha liverpool top4 and kwny UCL..lakini kwa blanda za jana sidhani kama Ataepuka lawama, he was naive..Na kwa shitty defense kama hii ya jana, Sidhan kama hata tutafika popote kwenye UCL next season, Board itabidi imrudishe steve clark au Wamuajiri sami Hyypia kama kocha wa defense, coz kocha wetu sisi anachowaza yeye ni Kushambulia Tu, Mwenzake wenger aliliona hilo tatizo ndo maana akamchukua steve bould,

Afu jana anatoka uwanjani amemaindi, Kana kwamba makosa ya wachezaji, wakati mipango yake na kujifanya Boss mbele ya akina Agger na sub za kijinga ndo zimeocost team yetu jana!!..

Hiyo €60mil wanayosema atapewa kwa ajili ya usajili, €40mill itumike kununua mabeki wa ukweli, Back four yooote ile..

And oooh, Sakho, GJ, Cissokho, Moses, Aspas, Wauzwe tu, Ni mizigo kwenye team!!!

Na mpaka sasa sijaona kabisa liverpool ikiwa linked na Centr-back yoyote..Anawaza washambuliaji Tu!!!

Suarez jana kalia, bcoz anajua kabisa kuwa we deserved kabisa kuchukua Title, Magoal yake 31, Yamekuwa ya bure tu, kwasababu ya beki mbovu ya liverpool..Agger kacheza chini ya Makocha waliowahi kuipa mafanikio Liverpool, Benitez, Na KD, na wote walimwamini..lakini nashangaa BR anamweka bench the best centre-back tuliyenaye kwenya team over Sakho!!!!..

Acha DAGGER aende Barca tu, wanaijua thamani yake!
 
mkuu MosDef una hasira! Loh! Punguza stress ndugu yangu timu zenyewe za wazungu hizi zitakuua bure! Sikia,me nishasema kwa game ya jana BR ndo alietucost full stop! I wish suarez asepe zake tu,that's where BR atajifunza how to keep world class players.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu Mosdef; that's football.
Steve Clarke 'chelsea legend' can help you' kwa sababu SC amewahi kufanya kazi na KD mwaka 2011 hapo LFC.
Poleni sana;
:A S cry:
 
kwa jana dogo hana kosa,magoli yote yalipitia kwa GJ,sakho ni beki mzuri tu,mpe muda. Kumbuka ndo beki tegemeo wa national team yake,mfuatilie kule brazil..sema akiwa national team anacheza na DMs wa ukweli.

Sjui tunaangaliaje mpira aisee!!

Lakini nakuhakikishia kabisha, Kutokuwa na pace, na utulivu kwa sakho, kumeigharimu sana team msimu huu, Na BR sijui kwa nn anashindwa kuelewa kuwa Patnership ya Skritel na Sakho haifanyi kazi hata kidogo..

uliangalia Game ya jana??

Skritel tu, ndo alicheza vizuri, Sakho na GJ ni trash!!!
 
Ni Egos ndio imemponza Rogers ndomana nampenda Wenger hana maneno na mtu watu ndio wanamtafuta mtu unatakiwa uwe Cool! Mashabiki wake tu Arsene ndio ovyo Rogers anajisikia abadilike hapo tu ila haibadilishi kama ni Manager mzuri atajifunza, Mosdef wacha kulalamika ndio ishapita tena ikirudi wanasema Pancha na Pancha ndio matairi yashapata kama nilivyokwambia jana ili Pain ila kwenye ndoto nishamaliza nipo Reality na kukumbuka hakuna aliyefikiria tutakuwa hapa so top 4 sio mbaya mwakani ndio alalamikiwe huyo unayemuongelea na timu tumefika Top 4 kutoka 6 mwakani lisipofanyika kitu ndio nitakupa hata Gun nenda kamalize mtu pale LFC, Arsenal kila siku walipiga kelele na Wenger siumeona huu mwaka watabeba ndio football na watu wakawaambia kama wanavyosema sasa hivi ah LFC mwakani ndio basi tena, wanajisahau LFC ilipotoka. Kama ww na timu hii iliyotoka 6th mpaka top 4 unalalamika je Man U walalamike vipi au timu kama Chelsea walalamike vipi? Wakati hao walitegemewa sie juhudi ndio ilipotufikisha siwezi kuilaumu LFC Mwakani mungu akituweka hai ndio nitajua kuilaumu wapi. Ila tu Lucas aondoshwe na wawepo watu ambao anaweza kuwekwa Bench.
 
Sorry,the trophy you are competing for will currently not be yours....please try again next season...
 

Mkuu Pazi upo sahihi, Lakini kinachoumiza sana ni kwamba msimu huu umeisha vibaya sana kuliko misimu yote ambayo Liverpool imewahi kucheza..Thats y suarex cried!!

We had the PL title mikononi mwetu, kabla ya Game ya Chelsea, ingawa tulipotea kwa hyo misimu mi3, kwa sehemu tuliyofikia Msimu huu, tulitakiwa tufanye better zaid, hakuna excuse hapo mkuu Pazi..

99 goals, 11 wins mfululizo, top scorers wote wawili, huwezi kusema hiyo ni bahati mkuu Pazi..we deserved this!!!

Tumejiharibia tu wenyewe!!!

Na nakwambia hapa mkuu Pazi, Mchezaji wa kwanza atakayesajiliwa na Liverpool this summer atakuwa ni Lallana tu..

Asa sjui kama tunamuhitaji Lallana Liverpool!!!
 

hahahahahahahahah!!!

Umenchekesha sana!!!

Inaumiza bhana..tusubirie miaka mingapi tena!!!!??

Dah...
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu Mosdef; that's football.
Steve Clarke 'chelsea legend' can help you' kwa sababu SC amewahi kufanya kazi na KD mwaka 2011 hapo LFC.
Poleni sana;
:A S cry:

ile Patnership ya SC na KD ilikuwa ni noma, japokuwa we didnt perfome well, lakin tuliconsd goal chache sana!!

Tunahitaji mtu kama Steve Clark pale!!
 

ha ha ha ha! Mkuu MosDef,BR anawaza magoli tu.kweli kbs sitoshangaa kumuona lalana mapema kbs pale lfc badala ya mtu kama fernando yule wa porto
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahah!!!

Umenchekesha sana!!!

Inaumiza bhana..tusubirie miaka mingapi tena!!!!??

Dah...

binafsi sidhani kama kuna gemu imeniuma tangu naanza kushabikia mpira kama jana! Sijaumizwa na matokeo,nimeumizwa na jinsi matokeo yalivyopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…