Mashabiki wa Liverpool wengi sana wa hapa BONGO hawataki kukubalian na ukweli kwamba BR ndiye aliyeogharimu Liverpool Ubingwa kwa hizi game mbili, Ya chelsea na CP.
Ntaongelea zaidi game ya Jana..kwanza suala la kwamba BR syo mzoefu, nalikataa, kwani kocha unatakiwa ujifunze kulingana na Makosa ya Game zilizopita, Mfano game za Swansea, aston villa, stoke city na nyingnezo, Kwenye hizi game zote tuliponea chupu chupu kuzipoteza kwasababu ya Aina hii ya mpira aliocheza Na CP, Huwezi kuwalaumu wachezaji kwani BR aliwaelekeza kuattack tu game ya jana, yaan no matter what, team iendelee kuattack tu, Kwa makocha vijana kama Klopp, martnez na simeone, Kipind CP walivyorudisha goal 1, Na ikawa 3-1, lazima wangemto attacking minded player na kumwingiza Defensive minded player..BR hakufanya hicho kitu, Ilivyo kuwa 3-2, akamtoa Sturridge na kumwingza Moses!!!, What a shitty Sub that was??!!!, Hata Kibadeni wa Bongo huku asingefanya Sub ya kijinga kama ile, Wakat una Agger yupo fit na yupo bench..Kwenye Game ya Norwich game ilivyo 3-2 mbona alimwingza Agger, na akafanikiwa kuyatuliza mashambulizi ya norwich, Jana imekuwaje Unamwingza uwanjani mtu kama Moses!!!!..Umetoa Strikers waliokuwa wanaleta pressure kwa CP, Asa kama unataka kubalance kwann usimuingize defensive minded player aje kukaba???..unaingiza mzigo kama Moses!!!!Agger si alikuwepo Bench???..
BR amefanya kazi nzuri, kairudisha liverpool top4 and kwny UCL..lakini kwa blanda za jana sidhani kama Ataepuka lawama, he was naive..Na kwa shitty defense kama hii ya jana, Sidhan kama hata tutafika popote kwenye UCL next season, Board itabidi imrudishe steve clark au Wamuajiri sami Hyypia kama kocha wa defense, coz kocha wetu sisi anachowaza yeye ni Kushambulia Tu, Mwenzake wenger aliliona hilo tatizo ndo maana akamchukua steve bould,
Afu jana anatoka uwanjani amemaindi, Kana kwamba makosa ya wachezaji, wakati mipango yake na kujifanya Boss mbele ya akina Agger na sub za kijinga ndo zimeocost team yetu jana!!..
Hiyo €60mil wanayosema atapewa kwa ajili ya usajili, €40mill itumike kununua mabeki wa ukweli, Back four yooote ile..
And oooh, Sakho, GJ, Cissokho, Moses, Aspas, Wauzwe tu, Ni mizigo kwenye team!!!
Na mpaka sasa sijaona kabisa liverpool ikiwa linked na Centr-back yoyote..Anawaza washambuliaji Tu!!!
Suarez jana kalia, bcoz anajua kabisa kuwa we deserved kabisa kuchukua Title, Magoal yake 31, Yamekuwa ya bure tu, kwasababu ya beki mbovu ya liverpool..Agger kacheza chini ya Makocha waliowahi kuipa mafanikio Liverpool, Benitez, Na KD, na wote walimwamini..lakini nashangaa BR anamweka bench the best centre-back tuliyenaye kwenya team over Sakho!!!!..
Acha DAGGER aende Barca tu, wanaijua thamani yake!